kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,108
kumbe kupiga kote makofi na kuwacheka wapinzani huku wakiwajoki kuwa mtaisoma namba kumbe ngoma imegeuka .hawa kufikia mwaka 2020 watakuwa wamepungua sana.
dunia ndivyo ilivyo unapo muombea mwenzako aisome namba lazima uisome kwanza wewe.kumbe kupiga kote makofi na kuwacheka wapinzani huku wakiwajoki kuwa mtaisoma namba kumbe ngoma imegeuka .