Mbona mabasi kwenye speed 50 wanakanyaga mafuta, sisi raia tukikanyaga tunakutana na tochi?

Hakuna 120 mzee basi speed mwsho 85km/hr tu ila wanatakiwa watembee mwsho 80km/hr hizo 5 wameekewa za ku overtake....

Akizidi 80km/hr tuseme akifika 81 alarm inalia so ukiona alarm inalia ujie yupo hapo kati ya 81 na 85 wengi wanao wahi kabla ya wenzao wananunua tochi kwny 50 wanaamsha na hyo hyo 80 so wanawah kufika...

Ila akitaka anaeza kuendesha 120 kama yupo tayari kulipa faini sumatra mana sumatra wao wanangalia nani kazidi 85..
Na mimi nimehisi hivyo..mabasi kwenye 50 yaneaenda 120
 
Hakuna 120 mzee basi speed mwsho 85km/hr tu ila wanatakiwa watembee mwsho 80km/hr hizo 5 wameekewa za ku overtake....

Akizidi 80km/hr tuseme akifika 81 alarm inalia so ukiona alarm inalia ujie yupo hapo kati ya 81 na 85 wengi wanao wahi kabla ya wenzao wananunua tochi kwny 50 wanaamsha na hyo hyo 80 so wanawah kufika...

Ila akitaka anaeza kuendesha 120 kama yupo tayari kulipa faini sumatra mana sumatra wao wanangalia nani kazidi 85..
Mabasi mengi alarm unalia mwanzo wa safari Hadi mwisho
 
Hakuna 120 mzee basi speed mwsho 85km/hr tu ila wanatakiwa watembee mwsho 80km/hr hizo 5 wameekewa za ku overtake....

Akizidi 80km/hr tuseme akifika 81 alarm inalia so ukiona alarm inalia ujie yupo hapo kati ya 81 na 85 wengi wanao wahi kabla ya wenzao wananunua tochi kwny 50 wanaamsha na hyo hyo 80 so wanawah kufika...

Ila akitaka anaeza kuendesha 120 kama yupo tayari kulipa faini sumatra mana sumatra wao wanangalia nani kazidi 85..
Wananunuaje..maana nmeiona basi
 
Jamaa hawana muda hata na hio alarm wanaamsha tu, yani mwanzo was safari hadi mwisho kile kidude kinawapigia kelele tu
 
jamaa wanatembea hapo hapo kwenye alarm
 
Jamaa hawana muda hata na hio alarm wanaamsha tu, yani mwanzo was safari hadi mwisho kile kidude kinawapigia kelele tu
Acha kupotosha mkuu!! Wenye mabasi wanachofanya ni kwenye vibao vya 50 tu ndio wanaongea kikubwa na wahusika, ili wapite na zaidi ya spidi hiyo, lakini kwenye vts(alarm) hawana ujanja ndio maana akishafika 85km/h,kika lia lazima tena a punguze mwendo, hivyo hivyo lakini aseme azidi kukanyaga mafuta tu, huo mkeka(faini) atakayokutana nayo huko latra ni balaa, unaweza kukutana na mkeka wa hadi milioni moja ndani ya mwezi mmoja!! Kwani ni mfumo tu ndio unafanya kazi!
 
Hakuna 120 mzee basi speed mwsho 85km/hr tu ila wanatakiwa watembee mwsho 80km/hr hizo 5 wameekewa za ku overtake....

Akizidi 80km/hr tuseme akifika 81 alarm inalia so ukiona alarm inalia ujie yupo hapo kati ya 81 na 85 wengi wanao wahi kabla ya wenzao wananunua tochi kwny 50 wanaamsha na hyo hyo 80 so wanawah kufika...

Ila akitaka anaeza kuendesha 120 kama yupo tayari kulipa faini sumatra mana sumatra wao wanangalia nani kazidi 85..
Jaribu kuovertake na 55 kwenye 50
 
Sijui kwa watu wengi hawataki kutii sheria bila shuruti

Halafu in the first place voluntary compliance ni kwa faida yako kwanza wewe mwenyewe kisha ndo kwa wengine!

Kwa nini uendeshe gari mwendo kasi usalama wako na wengine uuweke mashakani au hatarini?

Kwanini utake kufika uendako kwa kubahatisha?

Ajali za magari zimekuwa zikiangamiza maelefu ya watz na kuwawaacha wengine ktk ulemavu wa kudumu na mateso makubwa sana!
Mbona inawezekana kuepukika kwa kiasi kukubwa kabisa kama kila dereva angekubali kuwa mtii wa sheria bila shuruti?!
 
Back
Top Bottom