lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
mbona leo hakuna mdahalo? ndugu zangu jana kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na habari zimeandikwa kuwa leo saa nane kutakuwa na mdahalo unaohusu mkwamo wa kisiasa visiwani zanzibar na kwa mujibu wa taarifa mdahalo wenyewe ungerusha live itv na radio one sasa wana ndugu mbona ninaangalia itv hakuna mdahalo wowote?