...Mbona Kimya au mshahara umeingia!

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,228
Reaction score
4,196
...Mbona ghafla kumekuwa Kimya ? Mshahara umeingia ? Mbona hatuambiani...Kwa Jinsi Ile Ile tulivyokuwa tukilalamika ? Vipi, Mambo yamekuwa Supa na Kila Mtu Yuko Bize kula Kasungura Lake ?? [emoji846][emoji846]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜…ndugu zangu wenye mshahara nawasalimia
 
...Mbona ghafla kumekuwa Kimya ? Mshahara umeingia ? Mbona hatuambiani...Kwa Jinsi Ile Ile tulivyokuwa tukilalamika ? Vipi, Mambo yamekuwa Supa na Kila Mtu Yuko Bize kula Kasungura Lake ?? [emoji846][emoji846]
Mbona umeishaisha mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…