Mbona jua la leo limechomoza na ukali mkubwa!

Ndo utafute sehemu iliyotiwa kivuli
IMG-20211112-WA0025.jpg
 
Hivi wana anga wetu , astronomers/astronauts, wamejiridhisha kweli hakuna mataifa yenye nia ovu na sisi kuwa yameelekeza vioo vya satellite kwa kubeam jua kwenye bode letu la Rufiji ili tusijaze bwawa letu maji?

Au ndiyo ile satellite imebomolewa na Russia (kwa mujibu wa vyombo vya nje RT)?
====
Jua ni kali, kwenye mtandao mmoja wanasema Morogoro siku ya Alhamisi itapata joto la nyuzi 36!
 
Ukiwa na Pesa utajiwekea mazingira ya kutokuchomwa na jua. Utatembelea Gari yenye kiyoyozi, Nyumbani utaweka Kiyoyozi na Swimming Pool.. Maisha yanakuwa murua kabisa
Sasa mkuu utashinda kny gari na nyumbani?
 
Hivi wana anga wetu , astronomers/astronauts, wamejiridhisha kweli hakuna mataifa yenye nia ovu na sisi kuwa yameelekeza vioo vya satellite kwa kubeam jua kwenye bode letu la Rufiji ili tusijaze bwawa letu maji?

Au ndiyo ile satellite imebomolewa na Russia (kwa mujibu wa vyombo vya nje RT)?
====
Jua ni kali, kwenye mtandao mmoja wanasema Morogoro siku ya Alhamisi itapata joto la nyuzi 36!
Mabeberu are to blame maana twafa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom