Mbona jua la leo limechomoza na ukali mkubwa!

Si mlitaka?

IMG-20211116-WA0001.jpg
 
We've to change our ways wapendwa 🤣🤣🤣 jua ndio hivi sasa pata kapicha kama moto wa jehanam tutatoboa.
 
Pesa zikia mfukoni temperature inashuka? Basi jitumbukize kwenye tanuru la mkaa na billions mfukoni and you will be spared as long as you have money joking
Ukiwa na Pesa utajiwekea mazingira ya kutokuchomwa na jua. Utatembelea Gari yenye kiyoyozi, Nyumbani utaweka Kiyoyozi na Swimming Pool.. Maisha yanakuwa murua kabisa
 
Huku kwetu baridi,karibu watu wote wamevaa masweta na makoti.. Karibuni sana.. Maana kwa jua na joto hilo la Daslam vichaa wataongezeka.
 
Back
Top Bottom