Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
unamawazo kama CCMUnatafuta rafiki wa kike, ukimpata mwisho wa siku utataka awe mpenzi wako, kwa nini uzunguke si useme tu unatafuta mpenzi?
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya mapenzi,mahusiano na urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! Na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama mandela!
kwa hiyo ni kitu kimoja!mapenzi si urafiki?
Mapenzi si mahusiano?
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
kaka hebu acha kukurupuka tafuta uzi wenye maana!!!!
muache mwenzio aongeze idadi ya thread alizowahi anzisha.........lol
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki !
Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki
Kwa kunzia mimi natafuta rafiki awe na umri wa kunzia miaka 30 ! na awe mwanamke!
Bahati mbaya sina electronic copy ya picha yangu ningeipost ila sfa zangu ni kama Mandela!
Weka picha tuone.