Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
Mbona Mahiga naye alitangaza nia lakini alimpa shavu?Yeye si Alisha tangaza nia ya kuingia magogoni...jamaa anamtreat kama rival wake..mzee kipara ana mentality za kishamba!
Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Last time nilimuona mahali akiwa anatembea kwa kuchechemea nadhan ana tatizo LA mguu/ miguu! pia umri unachangia ila mentally yuko fit!Wale ni wazee kwa sasa; kwa hiyo labda sababu ya haraka ni kuwa anaumwa ndio mana hajatokea, hata mwenzie pia sikumwona pia.
Usihukumu!Je,ulimejiridhisha km hakuwa na dharula?!Yeye si Alisha tangaza nia ya kuingia magogoni...jamaa anamtreat kama rival wake..mzee kipara ana mentality za kishamba!
Mbona Msuguri hakuwepo? Itoshe tu kujua kuwa hawa wastaafu wengine ni wazee hivyo kuna zile changamito za kiafya zitokanazo na umri huwapata mara kwa mara. Lakini Msuguri hushirikishwa sana mambo nyeti ya kijeshi hasa yale ya kiuongoziJuzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?
Last time nilimuona mahali akiwa anatembea kwa kuchechemea nadhan ana tatizo LA mguu/ miguu! pia umri unachangia ila mentally yuko fit!
Mahiga ukimuona juuu juu unaweza kumchukulia kama wanasiasa wengine ila ukifuatilia historia yake unachoka tu. Mzee katulia sana huyu.Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Maige ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Agustino Maige!?Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!
Hata Augustine Maige ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!
Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Mahiga ukimuona juuu juu unaweza kumchukulia kama wanasiasa wengine ila ukifuatilia historia yake unachoka tu. Mzee katulia sana huyu.
Lile tukio la mkewe lilipotokea, alitulia tu. Wangekuwa wanasiasa wengine wa kisasa, wangeanza kutweet mipasho. Vijana tujifunze kwa hawa wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio LA mkewe lilikuaje na nini kilitokea?Mahiga ukimuona juuu juu unaweza kumchukulia kama wanasiasa wengine ila ukifuatilia historia yake unachoka tu. Mzee katulia sana huyu.
Lile tukio la mkewe lilipotokea, alitulia tu. Wangekuwa wanasiasa wengine wa kisasa, wangeanza kutweet mipasho. Vijana tujifunze kwa hawa wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umejijibu mwenyewe? Kama aliyemtoa alikwenda Mzee Kitine anashida gani naye?Last time nilimuona mahali akiwa anatembea kwa kuchechemea nadhan ana tatizo LA mguu/ miguu! pia umri unachangia ila mentally yuko fit!
Usinichukulie "Serious" sana kwenye michango yangu jukwaani!Mbona umejijibu mwenyewe? Kama aliyemtoa alikwenda Mzee Kitine anashida gani naye?
Sent using Jamii Forums mobile app