Membe S K
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 1,407
- 1,302
Huu ni upande mmoja tu wa prisism ambao si ukweli. Yawezekana huo ni uzoefu wako tu, wengine tunafurahia maisha kwa kuwa waaminifu na wakweli kwenye ndoa zetu, Hujaweka kwa uwazi chanzo cha matatizo. Conflict in marriage can no emerge from no-where there are significant sources with significant effects.
You assume conflicts ndani ya ndoa hazina uhusiano na chanzo/motive ya kuwapo kwa ndoa hiyo. We make a huge mistake to think people marry for love and love only. Love that the universe has failed to reach consensus defining. Ukiona conflicts haziishi ndani ya ndoa lazima moja au yote ya haya yafuatayo ya wapo. 1. Feeling za mapenzi zinapungua kwa moja wa wanandoa. 2. Matarajio y aliyoifanya motive ya uwapo wa ndoa yameanza kuonekana kwamba hayawezi kutekelezeka machoni mwa moja wapo. 3. Definition ya mke bora au mume bora imeanza kubadirika. 4. Moja wa wanandoa anadhani kwamba ushirika wake unamuweka kwenye position mbaya aidha kijamii, kiuchumi, kifikra nk na kwamba anatafuta njia ya kubadiri hali hiyo au kujiyoa kabisa kwenye ushirika huo (cost benefit analysis of marriage and prisoners dilemma).