Amani ipo pale mmoja katika ndoa yupo calm collected na independent mind .Kwa Sababu ukishajua partner wako mpole mtaratibu utajikuta unabadilika taratibu.Ugomvi Ugomvi Kwenye mahusiano ni Sababu ya power struggle ,temper,controlling.Chagua MWANAMKE mwenye maisha yake na ametoka from stable home na hakuhitaji wewe for her happiness.Kuna WANAWAKE duniani hawawezi Kufurahia maisha bila Mwanaume .Wanaume Kwao ndio usingizi na furaha .Family background muhimu mnoooo( Angalia wazazi wake ni watu gani ,walimpa mapenzi na attention ya kutosha).Ugomvi Kwenye mahusiano yanaweza kukuua kwa magonjwa.Oa MWANAMKE aliekuwa na maisha Kabla hamjaoana ( MWANAMKE mwenye Kwake ,usafiri )Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin.....
Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea mapenz.......unampeleka mjengoni mtu unaamkata kata vizuuuuur lakin mwisho wa siku sababu nyingine ya kukera inatokea....ukimuweza huku anakuweza kule,....halafu nilichogundua akishakuzoea tu,na ndio mapenzi yanapoharibikia,mimi nathink sana about hili,hIivi unaweza kuwa na mpenz msizoeane,au mzoeane halafu msikerane......najiua inakugusa na inakuuma,coz umempoteza uliyezan alikuwa perfect kwako.....pasuka tufurah!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
