Mbona hakuna ndoa zenye amani?!

Mbona hakuna ndoa zenye amani?!

Huu ni upande mmoja tu wa prisism ambao si ukweli. Yawezekana huo ni uzoefu wako tu, wengine tunafurahia maisha kwa kuwa waaminifu na wakweli kwenye ndoa zetu, Hujaweka kwa uwazi chanzo cha matatizo. Conflict in marriage can no emerge from no-where there are significant sources with significant effects.

You assume conflicts ndani ya ndoa hazina uhusiano na chanzo/motive ya kuwapo kwa ndoa hiyo. We make a huge mistake to think people marry for love and love only. Love that the universe has failed to reach consensus defining. Ukiona conflicts haziishi ndani ya ndoa lazima moja au yote ya haya yafuatayo ya wapo. 1. Feeling za mapenzi zinapungua kwa moja wa wanandoa. 2. Matarajio y aliyoifanya motive ya uwapo wa ndoa yameanza kuonekana kwamba hayawezi kutekelezeka machoni mwa moja wapo. 3. Definition ya mke bora au mume bora imeanza kubadirika. 4. Moja wa wanandoa anadhani kwamba ushirika wake unamuweka kwenye position mbaya aidha kijamii, kiuchumi, kifikra nk na kwamba anatafuta njia ya kubadiri hali hiyo au kujiyoa kabisa kwenye ushirika huo (cost benefit analysis of marriage and prisoners dilemma).
 
Ndoa yangu ni moja wapo wa ndoa yenye amani na ni ya mfano.ndoa ni muunganiko wa thaman sana hata mashoga wanalilia haki ya kuolewa!ndoa ni ndoto za mwanamke yeyote yule (hii ni kanuni ya asili) hata kama ukajitokeza kuponda ndoa ni vile amekosekana mtu wa kukuoa. Wale ma failure wa kwenye ndoa ndio wamekuwa wasemaji wetu juu ya ndoa zetu (sikiliza vipindi vingi vya redio vinavyoongozwa na wanawake).
Amani kwenye ndoa inategemeana sana na misingi ya muunganiko wenu:
je uliingia ktk ndoa kwa sababu ya mali?( cheo,kipato kikubwa,mali za wazazi au urithi)
Je uliingia kwenye ndoa kwa sababu umri unakukimbia?
Je uliingia ktk ndoa kwa sababu nawewe uonekana una hadhi ktk jamii au kwa kufuata mkumbo?

NDOA ILIYOJENGWA KWA VIGEZO (SIFA) VYA NJE NA NDOA ILIYOJENGWA KWA SIFA ZA NDANI (huruma,upole,unyenyekevu,upendo).KUNDI LA KWANZA MARANYINGI ZINASHINDWA.KUNDI LA PILI ZINA DUMU. lakinwatu wengi uchukua kundi la kwanza kufanya reference kwa ndoa zote.
 
Ndoa zenye amani kwa mwanaume zipo saud arabia, afghanistan, na sehemu nyingine ambazo tamaa za macho kwa mwanamke zimedhibitiwa. Ndoa yenye amani kwa mwanamke especially wa kiafrika sijui inapatikana wapi.

huu ni upotoshaji!
 
Huko huko kwa waarabu tena?hawataman kwa macho lakin ndio jamii zinazo ongoza kwa U.FI.RA.JI dunian (fanya research ya majina ya mashoga eneo unalo ishi).kweli unaoa mke bikra,nyuma sasa ndio usiseme.
 
Du mkuu wewe ni noumer saana, ukamchana live mama mkwe, siamini asee. Kama ni kweli I salute you!!!!!
haya mambo sio ya kuendekeza mkuu!baba mwenye nyumba lazima uonyeshe msimamo wako ukimchekea kila mtu eti uonekane wewe ni mwema unajidanganya mkuu!
 
Wajanja hawaoi, badala yake uwa na wapenzi wakudumu ambao uwazalia watoto kama kawaida. Ndoa ni commitment wakati mapenzi ni feelings, kamwe vitu hivi viwili haviwezi kulazimishwa kuwa pamoja. Feeling ubadirika sambamba na mazingira commitment haiko hivyo. Zamani ndoa zilidumu kwasababu mke alizingatia commitment na sio feelings za mapenzi. Siku hizi ndoa kwa mke ni mapenzi sio commitment, feelings za mapenzi zikipungua umempoteza.

Wakati mwingine siku hizi ndoa inaonekana kama njia halali ya kupata watoto, kwa hiyo hapo sio mapenzi wala commitment bali "Nataka watoto type of feeling", hizo ndo hazidumu na ugomvi ni from day one. Zipo nyingine za kiuchumi zaidi. Hizi mara nyingi mwanamke anakuambia "Kama una nipenda kweli nioe" hali akijuwa kwamba sio kila wanaofunga ndoa wanapendana. Ndoa sio precondition ya true love.

Mwanaume mjanja dunia ya leo haoi badala yake anakuwa na mpenzi anayempenda na kumuheshimu kama ambavyo angefanya kama angeoa. Ndoa zinavunjika kwasababu dunia ya leo imeongeza sababu nyingi za watu kuoana, matokeo yake watu ndani ya ndoa wanakosa sababu ya pamoja ili yo wafanye waoane.

mtu ambaye hajaoa huwa hawezi kuaminika kwa jambo lolote lile analofanya!!hata kama ni kazini,haiwezekani mtu aliyeoa awe anafanya vitu hovyo hovyo muda wote mtu aliyeoa huwa katika kufanya mambo yake anafikiria family alioiacha nyumbani kwanza,huwa lazima anajiuliza je nikifanya jambo flan side effects zake ni nini kwa my family au nisipofanya jambo fulani side effects zake ni nini kwenye familia,hii inampelekea kuwa makini sana kufanya mambo yake,SO MTU AMBAYE HAJAOA HAPASWI KUAMINIWA KWA JAMBO LOLOTE LILE ANALOFANYA.
 
ni kweli mkuu wengi tuliooa tupo kwenye matatizo makubwa,mimi kwa upande wangu naona kuna wakati inabidi kuwe na mipaka flan kati ya mke na mume,kwenye nyumba lazima head of household ajulikane ni nani,ni lazima kuwe na taratibu kwamba baba anasema nini na mama anasema nini!!mimi nilikuwa na shida moja mama mkwe ameweka makazi nyumbani kwangu hataki kuondoka huu mwezi wa sita sasa,jana nikampa makavu live kwamba mama nenda kapumzike nyumbani huu ni msimu wa kilimo sasa,basi akalia lia hapo leo asubuhi ameondoka,wkt mwingine ndugu wanachangia kuvuruga nyumba za watu.

Umetishaga!
 
sometimes too much mawasiliano na mpenzi ndio hupunguza utamu wa mapenzi!!

sikiliza, kitu chochote kikiwa relatively scarce, ndio huongeza unono kidizain fulani!

kwa mfano, pesa ingekuwa inapatikana kirahisi kama unavyovuta hewa, je ungeliamka alfajiri kwenda kuisaka??

hivyo, wewe na mpenzi wako, mnapoachania interval fulani ya communication, ndivyo mnavyonogeshana!!

imagine, kila saa na kila dakika mko mnachati tu, je, mtamisiana saa ngapi?

moyo utaenda chapa chapa saa ngapi?
 
U will only value hapiness if you have experienced sadness,
naamini changamoto kwny ndoa ni za mpito tu,kuku'test na kukuimarisha
'mapenzi ya kweli yana'stand the test of time,na time ndo ina mapito yote ya kimaisha
 
Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin.....
Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea mapenz.......unampeleka mjengoni mtu unaamkata kata vizuuuuur lakin mwisho wa siku sababu nyingine ya kukera inatokea....ukimuweza huku anakuweza kule,....halafu nilichogundua akishakuzoea tu,na ndio mapenzi yanapoharibikia,mimi nathink sana about hili,hivi unaweza kuwa na mpenz msizoeane,au mzoeane halafu msikerane......najiua inakugusa na inakuuma,coz umempoteza uliyezan alikuwa perfect kwako.....pasuka tufurah!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kijana wangu mapenzi yana tafsiri isiyoisha,kwa maana kila mtu ana namna yake anavyoyachukulia...
Zamani wakati Mwaidi akiwa amepanga mzambarauni nilikuwa namwona anashine midomo na uso ukipambwa na endless smile...yes...si alikuwa ana vishimo mashavuni? Basi mtoto wa Kindali nikadhani Mudi anafaidi sanaaaa....mawee kuja kutahamaki kumbe ata lile tabasamu lilikuwa la mtoko tu ila nyumbani bwashee alikuwa hajui ka bi dada ana dimples!

Moral ya story yangu ni kwamba haya makitu yapo tu kwanzia enzi za shemeji yangu Adam, yanamea, kuchanua na kunyauka,muhimu ni kuhakikisha kila mara unanyunyuzia maji na nakshi nakshi za kidigital kwa ustawi wa hii maneno...
 
Ndoa yangu ni moja wapo wa ndoa yenye amani na ni ya mfano.ndoa ni muunganiko wa thaman sana hata mashoga wanalilia haki ya kuolewa!ndoa ni ndoto za mwanamke yeyote yule (hii ni kanuni ya asili) hata kama ukajitokeza kuponda ndoa ni vile amekosekana mtu wa kukuoa. Wale ma failure wa kwenye ndoa ndio wamekuwa wasemaji wetu juu ya ndoa zetu (sikiliza vipindi vingi vya redio vinavyoongozwa na wanawake).
Amani kwenye ndoa inategemeana sana na misingi ya muunganiko wenu:
je uliingia ktk ndoa kwa sababu ya mali?( cheo,kipato kikubwa,mali za wazazi au urithi)
Je uliingia kwenye ndoa kwa sababu umri unakukimbia?
Je uliingia ktk ndoa kwa sababu nawewe uonekana una hadhi ktk jamii au kwa kufuata mkumbo?

NDOA ILIYOJENGWA KWA VIGEZO (SIFA) VYA NJE NA NDOA ILIYOJENGWA KWA SIFA ZA NDANI (huruma,upole,unyenyekevu,upendo).KUNDI LA KWANZA MARANYINGI ZINASHINDWA.KUNDI LA PILI ZINA DUMU. lakinwatu wengi uchukua kundi la kwanza kufanya reference kwa ndoa zote.

Zaidi ya 70% ya watu huingia kwenye ndoa kwa sababu hizo ulizoziweka, ndio maana tunasema kwamba ndoa nyingi za siku hizi zina matatizo.
 
Huko huko kwa waarabu tena?hawataman kwa macho lakin ndio jamii zinazo ongoza kwa U.FI.RA.JI dunian (fanya research ya majina ya mashoga eneo unalo ishi).kweli unaoa mke bikra,nyuma sasa ndio usiseme.
Usikariri vibaya.
Ushoga unahusiana sana na rangi nyeupe (muarabu, mzungu, latino, oriental, etc). Kwa sababu sisi hapo tanzania tumekuwa close sana na uarabu ndio maana tunadhani ushoga unahusiana na uarabu. Ukienda kwenye vitongoji kadhaa nchini Italy utakuta mashoga kibao na hakuna muarabu hapo, ukienda Brazil utakuta mashoga kibao na hakuna muarabu hapo, ukienda Mji fulani state ya California utakuta mashoga kibao na hakuna muarabu hapo.
Kuhusu uffirraji ngozi nyeupe zinahusika sana, weusi wanaanza kuiga ushoga na mambo ya tigo kwa kinadada, ambavyo sio busara.
 
ndo maana kwenye ndoa kuna kitu inaitwa talaka! hadi mahakamani inajulikana. kutokana na mapungufu yetu sisi wanadam ni vigumu kuish bila kukwaruzana na mara nying inatokana na ubabe wa kutaka kumwongoza mwenzio kwa mambo yote utakayo kutokana na matakwa yako! wapo wachache haswa wanawake wa kujishusha mpaka unamwonea huruma kama ni mpenzio hana makuu wala ubish hana, na ni wakwanza kuomba msamaha!
 
sometimes too much mawasiliano na mpenzi ndio hupunguza utamu wa mapenzi!!

sikiliza, kitu chochote kikiwa relatively scarce, ndio huongeza unono kidizain fulani!

kwa mfano, pesa ingekuwa inapatikana kirahisi kama unavyovuta hewa, je ungeliamka alfajiri kwenda kuisaka??

hivyo, wewe na mpenzi wako, mnapoachania interval fulani ya communication, ndivyo mnavyonogeshana!!

imagine, kila saa na kila dakika mko mnachati tu, je, mtamisiana saa ngapi?

moyo utaenda chapa chapa saa ngapi?

Excel umetisha kwa uselfish wa mawasiliano na wifi yetu, poor her mwenyewe unamwambia asikutumie mimeseji wala kukupigia eti unaboresha.....period!!!
 
Last edited by a moderator:
Zipo zimejaa tele. Ndio maana bado watu wanaoana sababu kuna couples ambazo ni models kwa ambao hawajaoa.
Basi tu nyingi hazina amani na ndizo tunazozisikia sana na kufikia ku conclude hamna ndoa yenye amani.
 
Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin.....
Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea mapenz.......unampeleka mjengoni mtu unaamkata kata vizuuuuur lakin mwisho wa siku sababu nyingine ya kukera inatokea....ukimuweza huku anakuweza kule,....halafu nilichogundua akishakuzoea tu,na ndio mapenzi yanapoharibikia,mimi nathink sana about hili,hivi unaweza kuwa na mpenz msizoeane,au mzoeane halafu msikerane......najiua inakugusa na inakuuma,coz umempoteza uliyezan alikuwa perfect kwako.....pasuka tufurah!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Neverrrrr
 
Back
Top Bottom