Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio bure.
kuna waliotoa tayari na sasa hivi anapikiwa mahanjumati then anapanda juu!!!!Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio bure.
wanaume wetu hawa bn...hamna hata jema
sio lazima kila mtu aanzishe thread
Nimepewa na MWANAUME MwenzIOOOOOO!! Eboh!........ Tukiwaomba munakuja kutusema hapa ooh videmu vya mizinga munalia hadi kamasi !!! tukichuna munahangaika! TuwafaNYAJEEEE!!!!! mutuwache tupumue!!!
Sio lazima kila thread ni ya ku comment ujue.
.....say that again, hazina masikio hataa!!sio lazima kila mtu aanzishe thread
ukiona manyoya....!???
.....say that again, hazina masikio hataa!!