Mbona gold hapeleki tuzo zake mjengoni kwa JPM?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu huyu gold alikua anapenda sana kupeleka tuzo magogoni enzi zilee lakini enzi hizi za MAGU hatujaona tena gold akipeleka tuzo zake magogoni kama enzi zileee. kwani kunani kule?
 
JPM anapokea ng`ombe, hujuagi tu !!!!!!! Wewe nenda na ng`ombe pale utapokelewa.
 
We jamaa ni jipu... Unatuaibisha wanaume Wa dar es salaam.....
 
wakuu huyu gold alikua anapenda sana kupeleka tuzo magogoni enzi zilee lakini enzi hizi za MAGU hatujaona tena gold akipeleka tuzo zake magogoni kama enzi zileee. kwani kunani kule?
Tehe tehe tehe
1.Gold= Dhahabu
2. Diamond = Almasi
3. Silver = Fedha

Yupi huyo mbona hujaweka wazi mzee wa Dar?
 
Back
Top Bottom