Hizi ni siku tofautiKaribu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Kuna foleni zingine ni upuuzi wa viongozi tu. Mnasimmishwa wakati yeye bado anaoga.Kuhamia dodoma sio suluhisho,kwan gari zao wame waachia vijana wao,sema nini acha kujifanya mdadisi saaana,wacha wa2 wa UBER tupige kazi kwani nyie hamjui sisi 2kikutana na foleni ndo 2na furahia?
Barabara gani hii?Hizi ni siku tofauti View attachment 1260715View attachment 1260724
Ukiziba kushoto utaachia kulia tutapita.Huwa naziba kabisa ili msivunje side mirrors
Huwa nawaachia kushoto.Ukiziba kushoto utaachia kulia tutapita.
Ukiziba kulia kushoto patakuwa wazi tutapita. Chagua upande. Sema kuna watu wanachomekeana vibaya wanaziba everywhere hawa ndio side mirrors zao zipo at risk.
Ila wabaya wenu wakuu wanaokwangua body za magari ni madereva wa bajaji wanaoforce kupita kama bodaboda. Sisi hatuna ubaya na mtu.
Mungu akubariki. Dereva muelewa namna hiyo safi sana. Kuna watu wana roho za kwanini mpaka kwenye lami!Huwa nawaachia kushoto.
Dar 90% ni squater hakuna barabara za kutosha watu wote mkienda mjini mnatumia barabara moja,kwanini pasiwe na foleni,serikali ilitakiwa ijenge mji mwingine nje ya dar ambao uko planned eg bagamoyo,kibaha
Tokea nimehama huo mji nimegundua kuwa kumbe hata mimi nilikuwa na kitambi lakini kutokana na hekaheka za kugombea madaladala kilikuwa kimejificha,sasa hivi kametuna hadi raha...
Yap nayo ni reason mojawapo.Na pia wengine wanakwepa shortcuts ambazo nyingi sio nzuri wakati wa mvua
Kwani Mbunge ndio anajenga barabara? Kodi anakusanya Mbunge?Mlimchagua Mdee mwambieni awajengee barabara sasa
Tokea nimehama huo mji nimegundua kuwa kumbe hata mimi nilikuwa na kitambi lakini kutokana na hekaheka za kugombea madaladala kilikuwa kimejificha,sasa hivi kametuna hadi raha...
Ziko wapi hizo barabara wadanganye wajinga,huo mji hauna hata hadhi ya kuitwa jiji,bora Tanga na DodomaDar gani yenye barabara moja kwenda mjini? Dar yote ni jiji.
Barabara zipo nyingi ili ufike kati kati ya jiji inategemea watokea wapi.
Tanga imepangwa vizuri pamoja haina mzungu mkubwa wa pesa na population mdogo,Dar ni hovyoNaona ushaanzisha ligi dar vs tanga
Sometime ninapokatiza na kipikipiki changu kwenye foleni na kuwaangalia madereva wa magari, I wish wangeona my wicked smile under my helmet.
Ila mkiwa kwenye foleni enyi wenye magari tafadhali baneni upande mmoja ila sisi tuweze kupita bila shida wala tusipige vile vihoni vyetu vya kukera.