Mlimchagua Mdee mwambieni awajengee barabara sasa
Fact.
Mwanza soon inakua grid locked kama Dar kwa sababu ofisi zote za umma ziko mjini na hawana mpango wa kuniondoa na kuzitawanya.
Pamoja na kukua kwa tehama bado ofisi zinarundikana sehemu moja utafikiri tuko miaka ya 60 ambapo ofisi zilikua zinahitajika kukaa jirani ili iwe rahisi kwa kuhamishiana nyaraka.
Angalia hata Dodoma, ujinga ni ule ule kuweka ofisi za serikali eneo moja, hatujifunzi, viongozi wetu kila siku wanatembelea ulaya hawajifunzi hata kidogo.
Hizi nchi zetu masikini ni masikini hadi akili za kupanga miji.
Raha kuwa na kitambi? Wewe ni mzima kichwani kweli?Tokea nimehama huo mji nimegundua kuwa kumbe hata mimi nilikuwa na kitambi lakini kutokana na hekaheka za kugombea madaladala kilikuwa kimejificha,sasa hivi kametuna hadi raha...
Unatembea kwa miguu utakutana vipi na foleni?Hizi foleni mbona mimi sikutani nazo?
Dar 90% ni squater hakuna barabara za kutosha watu wote mkienda mjini mnatumia barabara moja,kwanini pasiwe na foleni,serikali ilitakiwa ijenge mji mwingine nje ya dar ambao uko planned eg bagamoyo,kibahaKaribu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Naishi mjini, ofisi ipo mjini....Wewe una king'ora mkuu
Barabara karibuni zote zimejaa 1.S.T na stalet kidogo maana kidogo ndo zinatumia mafuta kidunchuKaribu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Huwa naziba kabisa ili msivunje side mirrorsSometime ninapokatiza na kipikipiki changu kwenye foleni na kuwaangalia madereva wa magari, I wish wangeona my wicked smile under my helmet.
Ila mkiwa kwenye foleni enyi wenye magari tafadhali baneni upande mmoja ila sisi tuweze kupita bila shida wala tusipige vile vihoni vyetu vya kukera.
Daah aisee acha tuu, kila siku natumia masaa 5-6 kwenda kazini na kurudi , muda mwingine unatamani kuacha kaziHuo mji huwa naona kama ni mji wa mateso sana
Pole sana chiefDaah aisee acha tuu, kila siku natumia masaa 5-6 kwenda kazini na kurudi , muda mwingine unatamani kuacha kazi
Ahsante mkuuPole sana chief
Ishu ya foleni na mvua ni polisi kukimbia mvua na kutoongoza magari. Trafiki light haziwezi ongoza gari sìku za kazi. Hivyo wenye haraka huchomekea na kuzua foleni zaidi.RRONDO,
Mvua zikinyesha huwa barabara zinakuwa na foleni sana hii ni kutokana na kila mtu anawasha gari yake anaingiza barabarani kuepuka kuloana.