Mbona drones bado zinatumika!!??

Umeulizia kama wana kibali?
Sijasikia Tangazo la kukataza drones labda nimepitwa
 
Nasema drones hazituwek salama na labda zinawapa wLinzi wetu changamoto MPYA na kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali, wewe ni msajili wa drones Tanzania??? Mpaka ujue hajasajiliwa??


Acha umbeya utaolewa mitara wewe binti!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Drones hazijapigwa marufuku ila zinaitaji kibali kutoka mamlaka husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Una uhakika gani kwamba pengine hao wanavitumia nao ni wana Usalama? Kwani Mkuu siku hizi Wanausalama hutakiwa kujitangaza au kujianika ili akina Sisi tuwajue / tuwang'amue?
 
Hazijazuiliwa,ila wameambiwa wakasajili jeshini ndio wapate kibali cha mamlaka ya anga,inawezekana hizo ulizoziona zimetimiza vigezo na masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…