Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

sina vyeti feki na sijawahi kupata maksi kwa kuiba mtihani, hebu we sema kwa usahihi hizo nchi zenye wahamiaji kutoka nchi za kiislam. Umeambiwa why wasikimbilie nchi zenye kujinasibu ni za kiislam zikiwemo nchi kinara wa uisla saudi arabia, iran, oman, pakistan, qatar, kuwait, yemen, uturuki na nyinginezo? Badala yake tunaona waislam wanakimbilia sana nchi za magharibi ambazo si za kiislam
Hivi unategemea kabsa upate jibu kwenye hilo swali? Mimi nazani waislamu wanabaki kuwa kama binadamu wengine na wanahitaji amani,ustarabu na maendeleo. TATIZO LA WAISLAMU NI YALE MAFUNDISHO YAO YANAFANYA MTU KUWA KAMA MJINGA(ZOMBI) ANGALIA TU MICHANGO YAO HUMU
 
UNHCR hii taasisi duniani ndio wanapokea wakimbizi
Kuna nchi wanapokea na kuna nchi zinatoa mchango tu ila hazipokei wakimbizi wa aina yoyote
Labda tujifunze hilo kwanza
Kwa mfano Tz tunapokea wakimbizi na mfuko wa Wakimbizi ndio unawafadhili na sio kodi zetu
Sasa kuna nchi hazitaki wakimbizi kwa mkataba walioafikiana na Umoja wa Mataifa ndio hao kila kukicha wasiojua wanasema kwanini Saudia hachukui wakimbizi au nchi fulani na fulani

Watu wanakuza jambo bila kuelewa
Pia kuna wahamiaji ambao wanatafuta maisha na hawakukimbia hata vita ndio hao wanaenda nchi ambazo zinahitaji Labour force
Ila nchi zingine hawahitaji wahamiaji maana wanajitosheleza na wakitaka wanaajiri kutoka nchi za nje

Huu ndio ukweli hata UK, Australia, Canada, hawa kila mwaka wanapokea watu wakijua kabisa kuwa wanahitaji wafanyakazi wa kila aina maana waliopo hawatoshi
Hata sisi wapo wengi wahamiaji tena wanaishi kwa sheria kabisa na ndio hao wakifanikiwa watu wanaanza kusema wanatunyonya
Ila wao wanashindwa kupasua ili wanyonye 😄
 
Ndio maana nimesema ualimu wako umeupata kimagumashi , yaani pamoja na ualimu wako umeshindwa hata kuingia kwenye mtandao wa shirika la wakimbizi duniani ukasach ukaona ni nchi gani zinazo wahifadhi wakimbizi wengi duniani?

Nchi zinazo ongoza kwa kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati kwa mujibu wa shirika la wakimbizi duniani

(1)Iran
(2) Uturuki
(3) Pakistan
(4)Jordan
(5) Ujerumani
(6) Lebanon
Hizo ndo nchi zenye wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati ukiitoa Ujerumani nchi nyingine zote zilizo baki ni nchi za waislam.

Alafu ngoja ni kuelimishe unacho takiwa ni kutofautisha mkimbizi na muhamiaji, mkimbizi ni mtu aliye kimbia vita na kwenda kutafuta sehemu salama na vita ikiisha wanarudi nyumbani kwao .
Mhamiaji ni mtu anaye toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu za kikazi,kibiasha,kimakazi,kimasomo,kiuchumi nadhani hao ndo unao usema.

Suala la uhamiaji barani Ulaya linatiwa chumvi na vyombo vya habari vya kimagharibi kwa ajili ya kuionesha na kuaminisha watu wajinga kama ww kuwa mataifa yao ni bora , lakini kiuhalisia wahamiaji wa kiuchumi wako kila nchi hapa duniani hata hapa Tz pamoja na usikini wake lakini wapo malaki ya watu kutoka mataifa mengine wameamia tz kwa sababu nilizo zitaja hapo.
Ukienda Kenya,Uganda , Somalia,nk ni razima utakuta raia kibao wa nchi nyingine wakiishi na kupiga mishe.

Ukienda UAE na Qtaar, Oman,Saudia kuna mamilioni ya raia kutoka nchi nyingine kwa sababu nilizo zitaja hapo juu.

Hakuna nchi hapa duniani isiyo kuwa na wahamiaji ila uhamiaji barani Ulaya unakuzwa na vyombo vya habari kwa misingi ya propaganda na kupenda kujikweza kwa wazungu .
Hao wanaokimbilia Iran, uturuki, Pakistan, jordan, Lebanon... Ni wale waarabu ambao hawana pesa ya kusafiria, au hawana documents kama passports, hivyo wanalazimika kukimbilia tu nchi jirani ili wapate hifadhi, lakini haimaanishi wanakimbilia nchi hizo kwa sababu wanazipenda.... Ni kama ilivyo kwa warundi kutokea burundi ambao wanaishi kambi za wakimbizi Tanzania... Hao hawana pesa au documents za kusafiria kwenda ulaya na Marekani.... Hizo nchi ulizitaja za kiarabu ni majirani wa nchi zinazopigana vita kila siku, hivyo raia wasiokuwa na uwezo ndio ukimbilia huko, mfano Iran na Pakistan ni jirani na Afghanistan, hivyo wakimbizi kutoka Afghanistan wengi ukimbilia huko. Uturuki, Labanon na syria uchukua wakimbizi wengi kutoka kwa jirani yao Syria ambako kuna vita za mara kwa mara. Pia Lebanon na Jordan zimepakana na Israel, hivyo wakimbizi wa Palestina wengine ukimbilia huko.

Ila kiukweli waarabu wengine hasa wenye pesa hawawezi kukimbiilia nchi za waarabu wenzao, wengi ukimbilia Marekani au USA. Ukiona muarabu kakimbilia kwa muarabu mwenzake juwa ni maskini hivyo pesa ya kusafiria hana.
 
Hamuwachukii wayahudi wakati nyinyi ndo mmewatesa wayahudi na kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi?

Ukrisito ni amani wakati ndo wenye rekodi ya kufanya mauaji na maangamizi makubwa hapa duniani.
Wayahudi wameishi ndani ya dola ya kiislam bila ya kuvughudhiwa kwa zaidi ya miaka 1000. Walipokuwa wakipigwa vita na utawala wa Visigoths huko ulaya katika karne ya 7 walikimbia na kuishi katika ardhi za waislam. Mpaka leo yapo mabaki ya wayahudi ndani ya Morocco,Tunisia n.k Mayahudi wameishi mpaka katika mji mtukufu wa Madinah chini ya Mtume Muhammad (pbuh).

Wakristo ndio wameongoza katika mauaji ya halaiki ya wayahudi. Visigoths wameua sana wayahudi, Roman empire imeua sana wayahudi,Hitler ameua sana wayahudi. Ila huwezi kukuta ktk historia kumetokea mauaji ya halaiki ya wayahudi chini ya dola ya kiislam.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
The Jewish controlled dogma of Hollywood

You can't take on the Jews at their own game
 
Hivi unategemea kabsa upate jibu kwenye hilo swali? Mimi nazani waislamu wanabaki kuwa kama binadamu wengine na wanahitaji amani,ustarabu na maendeleo. TATIZO LA WAISLAMU NI YALE MAFUNDISHO YAO YANAFANYA MTU KUWA KAMA MJINGA(ZOMBI) ANGALIA TU MICHANGO YAO HUMU
once mtu anakuwa muislam akili zake huwa za ajabu sana, anakuwa kama kafungwa ufahamu na hawezi kujinasua kwenye mafundisho yao ya brainwashed
 
Sasa hapa duniani kuna nchi isiyo kuwa na wahamiaji hapa duniani?
tatizo wahamiaji wa kiislam wakihamia kwenye nchi za kidemokrasia wanahamia na itikadi zao kiislam na kuanza kuleta fujo huko kama wafanyavyo huko nchi za magharibi hasa ufaransa, wanapenda ghasia sana. Trump nusura awapige marufuku kuingia marekani. Wakihamia kwenye nchi za watu watulie sio wakaendeleze mafundisho yao ya fujo
 
Kumbe mauaji ya mamilioni ya watu yaliyo tokea kwenye vita ya 1 na 2 dunia haya kufanywa na Wakristo?
Kumbe Musorni aliye uwa mamilioni ya watu hakuwa mkirsito?
Kumbe Hitra aliye uwa mamilioni ya watu hakuwa mkirsito?
Kumbe Marekani ambaye ameuwa mamilioni ya watu nchi, Vietnam ,Korea, Afghanistan,Iraq,Libya sio wakristo?

Kumbe walio fanya mauaji ya kimbali nchini Rwanda sio wakristo?

Kumbe Urusi na Ukraine wanao pigana na kusababisha vifo vya malaki ta watu sio wakristo?
fahamu kuwa walifanya/wanafanya mauaji hayo si kwa kujinasibu kuwa ni wakristo, wale ni wasekula hakuna ukristo hapo ni tofauti na waislam, mara utasikia islamic jihad, mara al quds, mara al qaeda. Mara al shabaab na hayo makundi yote ya wapiganaji vita wanajinasibu ni waislam, qur an yao wanaiweka sambamba na upanga/bunduki. Wapi ulisoma akina hitler, musolin na wale wapuuzi wa kimbari ya rwanda walijinasibu ni wakristo? Ukristo hauwasapoti wauaji,
 
Alafu hata mimi nashangaa sana wakristo hasa wa africa wanavyopenda kujinasibisha na wayahudi wakati wayahudi wenyewe wanawachukia wakristo kuliko hata waislamu,,,
Yaani pale Israel Wayahudi ndiyo wengi, wanafuatia Waislamu kisha Wakristo kwa kiwango kidogo.

Myahudi anamchukia mkiristo kuliko mtu wa imani yoyote ile halafu wakiristo wa Afrika wanashoboka sana kwa Wayahudi.
 
Dj Khaled hajawahi kuwa mpalestina ila wazazi wake.

Ni mmarekani by birth mwenye asili ya Palestina.

Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Swali lako la kipuuzi ,unauliza kitu obvious
Wakati unajua fika kwamba mazayuni ndio wanao control internainment industry hapo USA
Kila anaye wacriticize wanamfanyia fitina na kumharibia
 
Swali lako la kipuuzi ,unauliza kitu obvious
Wakati unajua fika kwamba mazayuni ndio wanao control internainment industry hapo USA
Kila anaye wacriticize wanamfanyia fitina na kumharibia
Unarudia nilichokiandika, soma upya.... Mimi ndio nimekwambia Wayahudi ndio wameshikilia soko la burudani...
 
Yaani pale Israel Wayahudi ndiyo wengi, wanafuatia Waislamu kisha Wakristo kwa kiwango kidogo.

Myahudi anamchukia mkiristo kuliko mtu wa imani yoyote ile halafu wakiristo wa Afrika wanashoboka sana kwa Wayahudi.
Wakristo hawajawai kuwa na ugomvi na Myahudi hata siku moja... Hizo habari unazoleta ni kutaka tu kuwachonganisha wakristo nao waingie vitani na wayahudi...

Ila kiukweli hata kama wana chuki na wakristo, ila hawajawai kuwafanyia wakristo mambo ambayo nyie mnafanyiana nao...

Sasa kama nyie waislamu na wao wayahudi hamchukiani kwa nini mnapigana vita sasa, na kwa nini sisi wakristo tunaochukiwa hatuko vitani?
 
Music industry ipo chini ya freemason, freemason ndio hao wayahudi ndio wanaomiliki Hollywood,sony music, billboard chart, universal studio na mastudio makubwa duniani.
Sasa unataka afe njaa kwa kuwasapoti ndugu zake.
 
Wakristo hawajawai kuwa na ugomvi na Myahudi hata siku moja... Hizo habari unazoleta ni kutaka tu kuwachonganisha wakristo nao waingie vitani na wayahudi...

Ila kiukweli hata kama wana chuki na wakristo, ila hawajawai kuwafanyia wakristo mambo ambayo nyie mnafanyiana nao...

Sasa kama nyie waislamu na wao wayahudi hamchukiani kwa nini mnapigana vita sasa, na kwa nini sisi wakristo tunaochukiwa hatuko vitani?
Wayahudi wao ujiona Bora kuliko wakristo na waislam
 
Alafu hata mimi nashangaa sana wakristo hasa wa africa wanavyopenda kujinasibisha na wayahudi wakati wayahudi wenyewe wanawachukia wakristo kuliko hata waislamu,,,
Hakuna mkristo anamshobokea myahudi kwani myahudi ni mtu aliyepotea.
Wakristo wanaposema Israel hawamaanishi taifa hili la kizayuni.
 
Hao sio wakimbizi ni wahamiaji hasa wa kiuchumi na kila nchi ina wahamiaji ya kiuchumi hata nchini kwetu wamejaa pamoja na umasikini wa nchi yetu.

Well kwa taarifa yako tu number one source ya ukuimbizi au wakimbizi ni vita.
Hao so called wahamiaji wote wamekimbia sababu moja tu, walipotoka kuna conflicts au kuna sheria kali mno zinazowanyima uhuru. Mostly ya nchi hizo ni za kiarabu

So swali je? Why wakitoka huko still wanakimbilia nchi zisizo na culture hiyo
 
Kijana Hitler alikuwa mkatoliki wakati analelewa nyumbani, alipokuwa kijana na kuweza kufanya maamuzi yake , ukatoliki aliona ni upumbavu na ni mambo ya wazee, ndio maana alitaka amalizane na wayahudi , kisha aje asafishe hiyo dini

Well story yako mybe wrong mahali. Hitler hakuwah kuwa na mpango wa kuja ku deal na catholic church.

Alijitenga nao yes, but alibaki ultra-nationalish na pan -germanic . Akiamini german race is the superior race and should rule the world.
 
Back
Top Bottom