Mbona DJ Khalid hajazingumza chochote kuhusu vita ya Palestine licha ya yeye kuwa Mpalestina

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze.

Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu.

Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba hifadhi Ulaya? Tena kwa watu wanaowaita mashoga, makafiri? Kwa nini wasiende kuomba hifadhi Misri, Uturuki, Saudia ama Oman?

Eeeeh! Hii dunia ina mengi usiyoyajua dogo🤣🤣🤣🤣
1704378589657.jpg
 
Alafu unajiita mwalimu nadhani serikali ianze tena mchakato wa kutafuta vyeti feki walio pata kazi kwa kuhonga.
sina vyeti feki na sijawahi kupata maksi kwa kuiba mtihani, hebu we sema kwa usahihi hizo nchi zenye wahamiaji kutoka nchi za kiislam. Umeambiwa why wasikimbilie nchi zenye kujinasibu ni za kiislam zikiwemo nchi kinara wa uisla saudi arabia, iran, oman, pakistan, qatar, kuwait, yemen, uturuki na nyinginezo? Badala yake tunaona waislam wanakimbilia sana nchi za magharibi ambazo si za kiislam
 
Kwan lazima aongee? Vitu vingine havihitaji kuzungumza, either ufanye au upige kimya
 
Alafu hata mimi nashangaa sana wakristo hasa wa africa wanavyopenda kujinasibisha na wayahudi wakati wayahudi wenyewe wanawachukia wakristo kuliko hata waislamu,,,
unashangaa nini kama kristo mwenyewe hawakumtambua itakuaje kwa wafuasi wake? Wakristo maisha yao yote hawana chuki na wayahudi, chuki haipo kwenye imani ya kikristo. Wakristo wanawapenda wayahudi na hata waislam. Shangaa hujawahi kusikia magaidi ya kikristo yakishambulia watu kama magaidi yale yanayojinasibu kwa dini yao. Ukristo ni amani elewa hivyo
 
sina vyeti feki na sijawahi kupata maksi kwa kuiba mtihani, hebu we sema kwa usahihi hizo nchi zenye wahamiaji kutoka nchi za kiislam. Umeambiwa why wasikimbilie nchi zenye kujinasibu ni za kiislam zikiwemo nchi kinara wa uisla saudi arabia, iran, oman, pakistan, qatar, kuwait, yemen, uturuki na nyinginezo? Badala yake tunaona waislam wanakimbilia sana nchi za magharibi ambazo si za kiislam
Ndio maana nimesema ualimu wako umeupata kimagumashi , yaani pamoja na ualimu wako umeshindwa hata kuingia kwenye mtandao wa shirika la wakimbizi duniani ukasach ukaona ni nchi gani zinazo wahifadhi wakimbizi wengi duniani?

Nchi zinazo ongoza kwa kuwahifadhi wakimbizi kutoka mashariki ya kati kwa mujibu wa shirika la wakimbizi duniani

(1)Iran
(2) Uturuki
(3) Pakistan
(4)Jordan
(5) Ujerumani
(6) Lebanon
Hizo ndo nchi zenye wakimbizi wengi kutoka mashariki ya kati ukiitoa Ujerumani nchi nyingine zote zilizo baki ni nchi za waislam.

Alafu ngoja ni kuelimishe unacho takiwa ni kutofautisha mkimbizi na muhamiaji, mkimbizi ni mtu aliye kimbia vita na kwenda kutafuta sehemu salama na vita ikiisha wanarudi nyumbani kwao .
Mhamiaji ni mtu anaye toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu za kikazi,kibiasha,kimakazi,kimasomo,kiuchumi nadhani hao ndo unao usema.

Suala la uhamiaji barani Ulaya linatiwa chumvi na vyombo vya habari vya kimagharibi kwa ajili ya kuionesha na kuaminisha watu wajinga kama ww kuwa mataifa yao ni bora , lakini kiuhalisia wahamiaji wa kiuchumi wako kila nchi hapa duniani hata hapa Tz pamoja na usikini wake lakini wapo malaki ya watu kutoka mataifa mengine wameamia tz kwa sababu nilizo zitaja hapo.
Ukienda Kenya,Uganda , Somalia,nk ni razima utakuta raia kibao wa nchi nyingine wakiishi na kupiga mishe.

Ukienda UAE na Qtaar, Oman,Saudia kuna mamilioni ya raia kutoka nchi nyingine kwa sababu nilizo zitaja hapo juu.

Hakuna nchi hapa duniani isiyo kuwa na wahamiaji ila uhamiaji barani Ulaya unakuzwa na vyombo vya habari kwa misingi ya propaganda na kupenda kujikweza kwa wazungu .
 
unashangaa nini kama kristo mwenyewe hawakumtambua itakuaje kwa wafuasi wake? Wakristo maisha yao yote hawana chuki na wayahudi, chuki haipo kwenye imani ya kikristo. Wakristo wanawapenda wayahudi na hata waislam. Shangaa hujawahi kusikia magaidi ya kikristo yakishambulia watu kama magaidi yale yanayojinasibu kwa dini yao. Ukristo ni amani elewa hivyo
Hamuwachukii wayahudi wakati nyinyi ndo mmewatesa wayahudi na kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi?

Ukrisito ni amani wakati ndo wenye rekodi ya kufanya mauaji na maangamizi makubwa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom