Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
CCM wanakamati ya kuvuruga vichwa vya watu ukikaribia uchaguzi wanawachukua wapinzani wanagawanya kwa mbili kila upande na ushindi huanzia hapoMbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu,?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani. Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.
UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama ambacho watu Wana Imani nacho kama dini vile.
Serikali ya CCM wanatakiwa kusapoti usajili wa chama hiki ufanyike haraka bila figisu kwani hiki ndio chama pekee ambacho ni kipimo sahihi Kwa ukomavu wa CCM.
UMOJA party ni kimbilio neutral Kwa watu wanao tafuta uwanja mbadala wa siasa.
Sasa ukimya wa UMOJA PARTY unaleta mashaka, tunataka kujua hatua ipi imefikiwa .
Tunataka kusimamisha wagombea katika Uchaguzi wa 2025.
Tafadhali tunaomba Updates.
Kimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.
UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama ambacho watu Wana Imani nacho kama dini vile.
Serikali ya CCM wanatakiwa kusapoti usajili wa chama hiki ufanyike haraka bila figisu kwani hiki ndio chama pekee ambacho ni kipimo sahihi Kwa ukomavu wa CCM.
UMOJA party ni kimbilio neutral Kwa watu wanao tafuta uwanja mbadala wa siasa.
Sasa ukimya wa UMOJA PARTY unaleta mashaka, tunataka kujua hatua ipi imefikiwa.
Tunataka kusimamisha wagombea katika Uchaguzi wa 2025.
Tafadhali tunaomba Updates.
Usije ukashangaa kikaja kuwa Ccm B, Country of opportunities !!Wamepigwa pin hakuna kupata usajiri wa kudumu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kaeni humo humo ccm mpk mzekee hapo ... Baada ya kuona msajiri kawapiga ban walijaribu kutaka kwenda Nccr mageuzi lkn nako yakatokea ya kutokea nako wamepigwa ban [emoji23][emoji23] [emoji23]... Kwenda chadema hawewezi maana ni mpinga mtukufu wao wa chatto ... hivyo wanejikuta hawana pa kwenda na baadhi yao wameona isiwe tabu , wanajiita chawa wa mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!
Kwa hiyo ni chama cha upinzani kwa upinzani?Kimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!
Kwa sasa kama uko Mwanza na una mzigo wa kuisafirisha huwezi kupata Lori maana Yote yamekodiwa kwa Kazi maalumuKila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.[emoji23]
USISAHAU SUKUMA GANG nao chama Chao kiko KIMYA sijui kwa niniMbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.
UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama ambacho watu Wana Imani nacho kama dini vile.
Serikali ya CCM wanatakiwa kusapoti usajili wa chama hiki ufanyike haraka bila figisu kwani hiki ndio chama pekee ambacho ni kipimo sahihi Kwa ukomavu wa CCM.
UMOJA party ni kimbilio neutral Kwa watu wanao tafuta uwanja mbadala wa siasa.
Sasa ukimya wa UMOJA PARTY unaleta mashaka, tunataka kujua hatua ipi imefikiwa.
Tunataka kusimamisha wagombea katika Uchaguzi wa 2025.
Tafadhali tunaomba Updates.
Kimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!
Hahahaha ACT ilianza kwa mikwara hivo hivo ila haikufika kura laki 1!! Ukiachana na Dr Slaa Hivi Kuna mpinzani kati ya 2005-2015 alikua maarufu kuliko Zitto?Kimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!
Kazi hiyo mkafanyie kwenu BurundiKimya kingi kina mshindo wasiwasi ni kwamba kikianza kazi chadema,cuf na Act wajipange!
Sukuma GangHakuna Chama Pale, Lile Ni Genge Tu La Watu