Mbona Bunge limevurugika?

Kilichowaunganisha wabunge wa CCM ni vyama vya upinzani.
Upinzani haupo sasa, nao hawana lao!
 
ni studio ya bongo fleva
 
Mataga mmekuwa wepesi sana kusahau,wakati mnashangalia ushindi wa kishindo wa Wabunge wote Nchi nzima mlikuwa mnategemea nini?
 
huenda mwenda zake amewatokea wameanza kunena vya kweli
Mwendazake alikuwa ni nouma, yaani kashalala lakini watu kitete hakijawaisha - washaanza kunena kwa lugha !!
 
Kuna matatizo katika Serikali. Serikali mpya inazaliwa katika hali ya matatizo.
Nguvu kubwa inahitajika kuweka mambo sawa kwa sababu hii ni Awamu mpya.
Lakini bado sijaona Bungeni kuna nini .
HAKUNA FEELING SASA HIVI KWAMBA NCHI INA KIONGOZI.
Dictator amekuja, ameondoka,watu Sasa wamepigwa na butwaa.
 
Viti maalum ndo kazi yao,usishangae
 
Hii kweli inapelekea hata wasiokuwa na hadhi ya kuwa wabunge wanagombea na wao.Wanajua kusutana sutana tu ndiyo kazi ya mjengoni.Wala siyo kujenga hoja
 
Bunge kulikosa radha mapema sana
 
Unakumbuka kauli yake bila yeye wabunge wasingerudi bungeni, so tuna uchafu wake umebaki
 
Kwani Baba Askofu alisemaje kuhusu Bunge letu pale msibani chato?
Anaekumbuka atueleze.
 
Dhambi ya asili (uchafuzi) inawatesa.
 
Lile sio bunge ni kijiwe cha wahuni na mazezeta wapiga porojo,
Mwisho wa siku wanachukua hela zetu na kwenda kuloga kwa waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…