Mbona Beka hayupo katika ushiriki wa FIESTA

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
226
281
Habar zenu wanajamvi
Nimekua nikijiuliza sana bila majibu mbona Beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta,

Kwa anayeweza kufahamu sababu tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea....

Nawasilisha
 
habar zenu wanajamvi

nmekua nikijiuliza sana bila majibu mbona beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta,kwa anaeweza kufaham sabab tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea....

Nawasilisha
labda masuala ya fedha na kimkataba
 
Ila uyu dogo yuko njema, anaimba rythm hatari sana, ...kuna yule mwingine anaitwa chin bees ase, ule hit yake "kababaye" angekua USA ungeingia billboard
 
Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)
Mwaka jana hakushiriki kwa ajili ya hizihizi sababu za kimkataba..Anyways...ngoja tusubiri mkuu
 
Fiesta ni ya wasani wasiojielewa kama kina kiba rayvan na wengine wasani vilaza kama wew
 
Navojua saivi wana sajili kutokana na mikoa wanayo enda, sio kama zamani mtu ana piga show mwanzo mwisho
 
Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)

alichosema mkuu pale juu ni kweli boss haya makampuni yana wivu sana utakuta voda mkataba wao unamkataza diamond asiperfom kwenye jukwaa lolote ambalo mdhamini wake mkuu ni kampuni ya mawasiliano.
 
hata mimi nategemea jamaa apandishwe hata ya hapa dar maana mwaka huu ametoa hit songs zenye mapokezi mazuri kwa wananchi.
 
Dogo anastahili nafasi kwakweli, kama B12 unapitia huu uzi plz mkumbuke kwenye ufalme wako, walau azunguke mikoa hata miwili na sio asubirie fungulia mbwa ya Dar. Ni msanii mzuri na mwenye fanbase kubwa kuliko wengi mliowapa nafasi kama Luludiva, Feza Kessy, Chin Bees, Country Boy, Coyo, Nandy, n.k
 
Back
Top Bottom