Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Kwenye link ipi mkuu kuna dogo wangu hajaona kachanganyikiwaKuna majina yametolewa ya Watumishi wa UMMA ambao hawatapokea tena mishahara Yao, ni vizuri ukafuatilia ili pressure imepungie
SAA NNE mbona kimya
Vyeti feki mishahara wao ilisimama mwezi wa 5.Ambao hawatapata ni wale darasa ka saba kuanzia 2005Mkuu kuna jamaa yangu pia alienda akakutana na hayo maswaibu jana.....akapewa maelekezo aende kwa HR wake au mwajiri atakutana na maelekezo zaidi.....
Kesho j3 ndio ataenda lakini kuna tetesi ni team vyeti feki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wamemaliza kutoa...naenda ATM kila baada ya muda empty
ufafanuzi please
Sawa mkuuVyeti feki mishahara wao ilisimama mwezi wa 5.Ambao hawatapata ni wale darasa ka saba kuanzia 2005
Sent using Jamii Forums mobile app