Mbolea ya kinyesi cha Popo

Mbolea ya kinyesi cha Popo

Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
Ni mbolea nzuri sana nadhani iko poa kwa mazao yote
 
Nzuri kwa mazao yote inaunguza sana mazao maana ni kali kama urea inahitaji maji mengi ukiweka!
weka kidogo tu kwenye shina.

Mfano ujazo wa kikombe cha chai weka mashina 3hadi tu ukieweka mawili au moja basi uweke kwa umbali zaidi na umwagilie maji ya kutosha.

Huwa inaifanya ardhi ikakamae.

Ni hayo tu nimewahi kutumia
 
Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
Ukiizidisha kidogo tu inaunguza mazao
 
Nzuri kwa mazao yote inaunguza sana mazao maana ni kali kama urea inahitaji maji mengi ukiweka!
weka kidogo tu kwenye shina.

Mfano ujazo wa kikombe cha chai weka mashina 3hadi tu ukieweka mawili au moja basi uweke kwa umbali zaidi na umwagilie maji ya kutosha.

Huwa inaifanya ardhi ikakamae.

Ni hayo tu nimewahi kutumia
Ahsante kwa ushauri
 
Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
Achana nayo babu! UTAPATA EBOLA!
 
Mbolea ya popo, kiafya, haifai kutumika kwenye kilimo kutokana na kuwa na vimelea vingi vinavyosababisha magonjwa hatari kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom