goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Jan 10, 2018 #21 Mavi yako ni mbolea [emoji23] [emoji1]
The Professor JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 2,223 Reaction score 4,587 Jan 10, 2018 #22 Kikwazo ni kimba cha wavuta bangi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,007 Reaction score 133,214 Jan 10, 2018 #23 Kuna mashine za kuchakata kinyesi cha watu na kuzalisha bidhaa kadhaa kama maji safi na salama ya kunywa, mbolea, nk.. Angalia hapa kwa mfano: This Ingenious Machine Turns Feces Into Drinking Water | Bill Gates
Kuna mashine za kuchakata kinyesi cha watu na kuzalisha bidhaa kadhaa kama maji safi na salama ya kunywa, mbolea, nk.. Angalia hapa kwa mfano: This Ingenious Machine Turns Feces Into Drinking Water | Bill Gates