donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
mbona mi naona nne tu!!
Dah mmenichekesha kweli,
Yaani kuna mbilimbi, vitunguu maji, kachumbari, ndondo, mchicha, serwa, na nyingine sijui nini ipo chini ya mpunga, fishi... farkhina leo haupiki?
Dah mmenichekesha kweli,
Yaani kuna mbilimbi, vitunguu maji, kachumbari, ndondo, mchicha, serwa, na nyingine sijui nini ipo chini ya mpunga, fishi... farkhina leo haupiki?
Ah hebu kula huko....mie nikikaribia hatushibi
Kwa mama ntilie hapo 1500 tu, ucjidai
sumu hapo
Hahahaha bado mida...ntakuita uje kula
ni kweli mkuu sema unfortunately hilini pishi la biMkubwa wangu kihome tu kwaajili ya familia.Acha niende zangu forodhani naona hata dalili ya mahanjumati hakuna leo,
donlucchese hiyo mboga saba wapi inapatikana, very healthy sema inakosa fresh juice ya ukwaju tu.