Niliposoma ile thread mwanzo sikuelewa baada ya kuona screen shots za
strong woman sio Siri nikabaki najiuliza mbona huyu dada aliyataka mwenyewe kwa maana jua ameshantengenezea jamaa mazingira kua if kazi yes bas atampaa zawadi halaf anasema mchumba WA mtu ndo anabehave kama nini sjui all I can see from her she is very cheap na nachoona kwa wotee wanamakosaa na hatua stahiki zichukuliwr ili iwe fundisho next time wajifunze kubehave kama watu wazma private Ni private sio kuweka public kuvuana nguo hadharani