Mbio za Urais; Malawi vs Zambia

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
Najaribu Kufanya Upembuzi yakinifu wa Historia ya Uraus kwa nchi mbili za Malawi na Zambia  1. Rais wa Kwanza wa Malawi ni Hans Kamuzu Banda, wa Zambia ni Keneth Kaunda (inasermekana wote wana asili ya Malawi)
  2. Baada ya Banda alifuatia Bakili Muluzi, Kwa Zambia akafuata Chiluba Fredrik mabaye alibadili Katiba kumwambia KK arudihswa vitu vyote alivyovipata akiwa Rais wa ZAMBIA
  3. Bakili hatimaye alimteua Bingu wa Mutharika, ilihali Chiluba alimuibua Levy Mwanawasa
  4. Bingu wa Mutharika alijua kumgeuka Bakili Muluzi, ilihali Levy Mwanawasa alimgeuka Chiluba
  5. Bingu, Chiluba na Mwanawasa wote ni Marehemu
  6. Baada ya Levy kufariki, alifuata Rupia Banda (inasemekana ana linage ya Banda the I wa Malawi) kama Rais wa Mpito nchini Zambia ambaye aliangushwa kwenye uchaguzi na Michael Sata, Baada ya Bingu ameshika Joyce Banda kama Rais wa Mpito

Je Joyce Banda naye ataangushwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom