Natamani utabiri wa huyu bwana uwe kweli wa Arsenal kuwa bingwa. Wenger anastahili sifa kwa kuiweka timu hiyo kwenye contention namna hii. Arsenal wamekuwa na ukame wa hilo kombe kwa siku nyingi zaidi ya Manchester United na Chelsea hivyo naomba wawe washindi mwaka huu.