Mbinu zinazotumiwa na wezi wa magari kwenye mfumo car key remote

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,724
Maisha kila siku ni changamoto ila mpaka ukutane na changamoto hizo.

Asilimia kubwa ya magari yetu tunapenda kutumia mfumo wa key remote ndio habari ya mjini.

IMG_4026.jpg

Lakini ni hatari kama usipokuwa makini na usalama wake kwenye sehemu za parking kama kwenye maduka makubwa, mabenki, baa, kwenye misongamano ya biashara na n.k

Kwa nini!
Sitapenda kutaja kituo fulani nilikuwepo kwenye jambo langu basi nikasikia mmoja wa upelelezi kulalamika kuna mwizi mmoja hana sumbua sana maeneo ya kinondoni kwenye wizi wa magari yani hana weza fungua gari la mtu bila kuvunja kioo wala kuharibu na kuiba kama redio, vitu vitakavo kuwepo humo kama umeacha begi, laptop, simu na n.k.walikaa mda mwingi kumweleza wakabaki kama wapo kwenye mshangao ila ni kaondoka kwa vile sikuja kwa jambo la kwao?

Kiufupi naomba nianze na hapa kwanza kueleza nchi yetu.

Tanzania kuna vitu vinaingia ambavyo vyombo vya usalama au wakaguzi wengine kushindwa kugundua hiki ni nini.kumbe kinaweza kuwa hatari sana katika matumizi ambayo kama si mwepesi kutambua vifaa hivi basi vitaingia nchini.

Baada ya kukaa kuanza kufatilia ni kwa nini nikajikuta nimekutana na kundi hili.

IMG_4027.jpg

Hili ni kundi kubwa la wataalamu wa kila nyanja za wizi kwenye teknolojia na ulinzi na kila mwaka utumika bajeti kubwa ya serekali ili kupata mbinu mpya na wizi mpya kwenye teknolojia yoyote na vifaa vyovyote.

Turudi kwenye maada
Baada ya kupata mambo fulani kuhusu remote key ni katambua kuwa mfumo wake unaweza kuingiliwa na mtu wa kati pale unapofungua gari au kufunga kwa kudaka signal command na yeye kubaki na clone ya funguo yako.

IMG_4028.jpg

Na nyengine kufanyia ombi ili gari kukubali kuomba kufunguliwa (RFID car key signal)

IMG_4029.jpg

Ukiona mtu yupo karibu na gari lako mda mrefu au pembeni kuna gari kapaki na yupo ndani ya gari ajatoka basi ujue hana jaribu kutafuta ombi kupata clone ya funguo na kufungua gari.

Vifaa ambavyo vinatumika na sitataka kutaja majina ili kuepusha matatizo

IMG_4025.jpg

Ni cha kuepuka

  • Sehemu nilizo zitaja ni bora kufunga gari kwa funguo ya kawaida ili kuzibiti majanga kama hayo.
  • Usinunue funguo za electronic zisizo na viwango kwa ajili ya ulinzi .
  • Uakikisha kila unapo funga au fungua gari kuwe maeneo yenye ulinzi.
 
Huu wizi upo sana nchi za nje. Wanakuja wezi wanapachika kifaa kwenye gari lako ambacho ni kidogo,si rahisi kukiona. Kifaa kinatumika ku hack sign za funguo yako.
wakishafungua na kuingia ndani ya gari wanakua na vifaa vingine kama laptop ambapo wanatumia kutengeneza funguo ya gari kwa mda mfupi ,kinachofuata gari inapigwa starter wanaondoka nayo kama yao.
Hata pikipiki zinaibiwa sana kwa njia hizo. Ukifunga gps inasaidia sana.
 
Wanawaibia nyinyi tu. Hawawezi kuhack kwenye Lamborghini avantador yangu. Pia hawawezi kuhack kwenye Bugatti Chiron na Veyron yangu. Kamwe hawawezi kuingia bila ridhaa yangu kwenye McClaren senna, p1 na Artura. Hawawezi kuhack corvette C8 zangu
 
Mwisho nimemaliza kuwa security kulingana na ubora na bei ya kifaa mwisho ulimaliza
 
Code:
Upo sahihi mtoa uzi wanaita key jam yaani ufunguo wako nae anabonyeza kwa wataalamu inatakiwa ujiridhishe kwa kufungua mlango kujua Kama umefunga au laa...
 
Itoshe kusema kua kitu chochote ambacho ni wireless ni more vulnerable ingawa machenical stuffs pia zinakua ziko vulnerable ila haaizidi wireless
 
Maisha kila siku ni changamoto ila mpaka ukutane na changamoto hizo.

Asilimia kubwa ya magari yetu tunapenda kutumia mfumo wa key remote ndio habari ya mjini.

Lakini ni hatari kama usipokuwa makini na usalama wake kwenye sehemu za parking kama kwenye maduka makubwa, mabenki, baa, kwenye misongamano ya biashara na n.k

Kwa nini!
Sitapenda kutaja kituo fulani nilikuwepo kwenye jambo langu basi nikasikia mmoja wa upelelezi kulalamika kuna mwizi mmoja hana sumbua sana maeneo ya kinondoni kwenye wizi wa magari yani hana weza fungua gari la mtu bila kuvunja kioo wala kuharibu na kuiba kama redio, vitu vitakavo kuwepo humo kama umeacha begi, laptop, simu na n.k.walikaa mda mwingi kumweleza wakabaki kama wapo kwenye mshangao ila ni kaondoka kwa vile sikuja kwa jambo la kwao?

Kiufupi naomba nianze na hapa kwanza kueleza nchi yetu.

Tanzania kuna vitu vinaingia ambavyo vyombo vya usalama au wakaguzi wengine kushindwa kugundua hiki ni nini.kumbe kinaweza kuwa hatari sana katika matumizi ambayo kama si mwepesi kutambua vifaa hivi basi vitaingia nchini.

Baada ya kukaa kuanza kufatilia ni kwa nini nikajikuta nimekutana na kundi hili.

Hili ni kundi kubwa la wataalamu wa kila nyanja za wizi kwenye teknolojia na ulinzi na kila mwaka utumika bajeti kubwa ya serekali ili kupata mbinu mpya na wizi mpya kwenye teknolojia yoyote na vifaa vyovyote.

Turudi kwenye maada
Baada ya kupata mambo fulani kuhusu remote key ni katambua kuwa mfumo wake unaweza kuingiliwa na mtu wa kati pale unapofungua gari au kufunga kwa kudaka signal command na yeye kubaki na clone ya funguo yako.

Na nyengine kufanyia ombi ili gari kukubali kuomba kufunguliwa (RFID car key signal)

Ukiona mtu yupo karibu na gari lako mda mrefu au pembeni kuna gari kapaki na yupo ndani ya gari ajatoka basi ujue hana jaribu kutafuta ombi kupata clone ya funguo na kufungua gari.

Vifaa ambavyo vinatumika na sitataka kutaja majina ili kuepusha matatizo

Ni cha kuepuka

  • Sehemu nilizo zitaja ni bora kufunga gari kwa funguo ya kawaida ili kuzibiti majanga kama hayo.
  • Usinunue funguo za electronic zisizo na viwango kwa ajili ya ulinzi .
  • Uakikisha kila unapo funga au fungua gari kuwe maeneo yenye ulinzi.
Mada nzuri sana lakini naomba ukiweza ipangilie upya ilete mtiririko mzuri wa kueleweka na wote...kuna baadhi tumeelewa lakini kwa wengine inaweza kuwa changamoto kidogo
 
Huu wizi upo sana nchi za nje. Wanakuja wezi wanapachika kifaa kwenye gari lako ambacho ni kidogo,si rahisi kukiona. Kifaa kinatumika ku hack sign za funguo yako.
wakishafungua na kuingia ndani ya gari wanakua na vifaa vingine kama laptop ambapo wanatumia kutengeneza funguo ya gari kwa mda mfupi ,kinachofuata gari inapigwa starter wanaondoka nayo kama yao.
Hata pikipiki zinaibiwa sana kwa njia hizo. Ukifunga gps inasaidia sana.
Hivi ndivyo walivyofanya wale mashushu kule Dubai mwaka 2010 wakati wanajaribu kutengeneza funguo za kuingia ndani ya chumba cha victim wao. Walipachika kifaa mlangoni, waka-capture signal za mlango na kuziweka kwenye laptop yao, halafu wakatumia laptop hiyo ku-dublicate funguo za ziada za chumba hicho. Hii ilikuwepo kwenye uzi ule uliopigwa ban, Nusu Maji, Nusu Damu
 
Back
Top Bottom