Mbinu za wanawake wa siku hizi

Mbinu za wanawake wa siku hizi

mjanja mwingine anahamia na habebi mimba ng'ooo afu anakubananisha mwanzo mwisho
 
wanaume wa kibongo bila hivyo hamuoi kudadeki cha muhimu n kijimuvusisha mwenyewe mdgmdg mana mwanaume n km mchicha juhudi zako kuumwagia ndo unastawi sawa n hapa bila juhudi za kupalilia ndoa utaishia kumegwa tu
 
hivi huyu mtoa mada ndo yuleyule ameiweka fb hii mada au??
 
Ndio mapango ulivyo siku hizi,baada ya hapo akipata ujauzito ndio familia inakuwa tayari unabeba mzigo bila gharama na mkitaka ndoa inakuwa rahisi zaidi kuliko kila mtu akiwa kivyake.
 
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni, nyingine anavaa asubuhi anaondoka.

Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka.

Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia Honey nitunzie nimesahau hereni zangu mezani' Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo.

Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza.

Hao ndo Wanawake wa kileo, akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza anahamia taratibu.

Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'.

My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO.

Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days, ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako, inawindwa ndoa.

Hii mbona ilikuwepo tangu zamani
 
wanaume wa kibongo bila hivyo hamuoi kudadeki cha muhimu n kijimuvusisha mwenyewe mdgmdg mana mwanaume n km mchicha juhudi zako kuumwagia ndo unastawi sawa n hapa bila juhudi za kupalilia ndoa utaishia kumegwa tu

Sa si ndo raha kumegwa cutee.
 
Hah! Mi sina hizo mambo na watoto wa aina hiyo. Na wabetua tu, coz sitaki uraia mimi
 
Back
Top Bottom