Mbinu za wanawake wa siku hizi

Mbinu za wanawake wa siku hizi

Imemnyeshea!!! Wahenga walikuwa wahuni kweli yan! Wao walisema imemnyea
 
Inaonekana upo ki maslahi zaidi ndio maana lakini kama unampenda kweli utalala popote atakapo na utampeleka hata kwako lakini inaonekana una wengi unaogopa kugonganisha magari Kwa kifupi hujiamini.....
 
nikweli ila wadada wengine mnatushushia heshima ivi utalalaje kwa mwanaume? na je hotel watalala akina nan? mm mwenyewe siwez kumlaza kwangu mwanaume iweze nilale kwake?

Hujiamini unaogopa kugonganisha magari utakuwa na bange la cheni.....
 
wala sio ivo mantiki ni kwamba haileti heshima kama mtu hajakuoa

Hapana bhana anaekuheshimu na mwenye malengo mazuri muende nyumani labda iwe hakuna jinsi lakini kama uwezekano upo bora getto
 
MstahikiMeya


Jamani acheni kuwadhalilisha wanawake pamoja na kwamba vjana wa kiume wamekuwa waoga sana kuoa siku hizi wapo tayari hata kufanya self service deile, lakini sio wanawake wote wanatamani kuhamia kwa wanaume. Siku hizi wanawake wanajiamini sana ujue.
 
Last edited by a moderator:

heheheee!!kama hamuwaoi wafanyaje sasa
mna hit na ku run washashtukaa!!
 
Kwa kuwa siku hizi hamtaki kuoa, mnajifanya nyuki, kila ua ni lake.

Sasa wameamua kuja na mbinu mbadala kuukabili ujuaji wenu. Nawapongeza wadada kwa mbinu hiyo, tena nawashauri dada zangu msikubali kupelekwa guest.

Vv

kwake silali labda itokee emergency.. mambo ya kuchafuana unajulikana leo wewe mpenzi wa fulani alafu baada ya mwezi mmeachana sitaki. guest nitalala ila kwangu hutakaa ufike... tukutane kitaa na baada ya story kila mtu aende kwake.
 
Vita mbinu,siyo nguvu,ndoa haiji kimiujiza ni swala la kufanya jambo flani ili ile ambayo wanasema ndoa ni automaticaly itokee...kwa sababu neno automaticaly kwa maana yake na kiutendaji kazi ni lazima ufanye jambo flan ili hiyo process ya automaticaly itokee,kimsingi lazima u-Initiet ndipo hiyo ndoa ya automaticaly itokee,kwa hiyo ndio kusema juhudi lazima zifanyike,ziwe nzuri au mbaya ila lazima zifanyike,ndoa haiwez kuja kama atakuwa anakaa kwao/kwake bila kuja kwako nakuacha alama zake.
 
Back
Top Bottom