Mbinu za wanawake wa siku hizi

Mbinu za wanawake wa siku hizi

Ndiyo tangazo la ndoa hilo,tulia dawa iingie mkuu!Inaleta raha kama ulikuwa unachukua na "movie"!
 
Kwa kuwa siku hizi hamtaki kuoa, mnajifanya nyuki, kila ua ni lake.

Sasa wameamua kuja na mbinu mbadala kuukabili ujuaji wenu. Nawapongeza wadada kwa mbinu hiyo, tena nawashauri dada zangu msikubali kupelekwa guest.

Vv
 
bado mkuu ila natoa tathmini

Hio ni kawaida sana...na nategesha nilipoweka hereni zangu nizikute palepale hakuna kubadili...miswaki nikute miwili tu bafuni..ikizid zaidi ya hapo unamaelezo ya kutoa..na mengine mengiiii
 
Hio ni kawaida sana...na nategesha nilipoweka hereni zangu nizikute palepale hakuna kubadili...miswaki nikute miwili tu bafuni..ikizid zaidi ya hapo unamaelezo ya kutoa..na mengine mengiiii

Hahahahahahahaha..... brenda18
 
Last edited by a moderator:
MstahikiMeya

nikweli ila wadada wengine mnatushushia heshima ivi utalalaje kwa mwanaume? na je hotel watalala akina nan? mm mwenyewe siwez kumlaza kwangu mwanaume iweze nilale kwake?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo safi kuliko kufanywa baba then anasepa noma hiyo
 
Back
Top Bottom