Mbinu za kusave pesa yako

Mkuu maelekezo zaidi au ufafanuzi kuhusu hiyo no 14 please
 
So sad lakin hamna namna ni umaskini tu, Kuna tofauti kubwa kati ya kujinyima na kusave, anasave mtu anae kidhi mahitaji yake kwanza tofauti na hapo unajinyima na hii ni dhambi kama zilivyo zambi zingine!
 
Ukipata mshahara Fanya savings kwanza then itakayobaki ndo utumie vibaya,Incase una matumizi mabaya ya hela.
 
Tungi vipi linaruhusiwa hapa?
Tungi ndiyo mwisho wake. Kama huna mishe za kueleweka hata boxer hununui we ukipata ka 10 tungi tu
 
Mbinu ya kusave pesa ni kushinda ndani kuanzia asubh had jioni either ukijisomea au ukicheki move then usiku ulale. Wakati huo huo upike chakula ule asubuhi, mchana na usiku. Hii itasaidia kidogo japo inategemea mtu na mtu.
 
 
Mahindi yanaribika sana, ukienda kusanga UNGA wake mchungu, nayaona ukiwa ghetto utasanda labda Ile kibishi😁
 
Nitasoma Baaade maana hili ni janga kwqngu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…