Mbinu za kupata mtoto wa kike

ween

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
415
Points
250
ween

ween

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
415 250
Habari ndg zangu,
Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda.
Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15,
Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za hedhi
Tarehe 21,(ktk mwez huo Wa 5, nilikutana na mwenza wangu Siku ya 10,11,12,13,na 15, tangu siku ya 21 nilipoona Siku zangu , ndg zangu mpka sasa sioni dalili ya mimba nimepima pia kwa kipimo cha test prignant nimeonekana sina mimba,

Naomba kujua je siku hizonilizoshiriki tendo hazikua siku za hatari ndio maana sina ujauzito?

Je Siku zangu za hatari nizip kutokana na mtililiko Wa hedhi Yangu, (naingia sk7)

Naomba mnifahamishe ktk mwezi 6 ujao nifanye tendo ktk siku gani ili niweze pata ujauzito wa mtoto Wa kike.
 
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
624
Points
500
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
624 500
your period yako it seems haiko sawa kwa kuanzia hapa kabla hatujaenda kwa dawa za hormone ambazo husaidia kupata ujauzito kwa kufanya upevushaji mzuri wa mayai.
 
Jungle Fighter

Jungle Fighter

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2018
Messages
492
Points
1,000
Jungle Fighter

Jungle Fighter

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2018
492 1,000
Itakua huyo mwenz wako ana mbegu za mtoto wa kike njoo kwangu tutengeneze kabeby
 
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Messages
624
Points
500
clixus

clixus

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2016
624 500
Ok cha kufanya kwanza ni kuanza kutumia dawa ya hormone ya oestrogen ambayo inadili na maswala ya ovulation yaan upevushaji wa mayai.

Ila ni elimu ndefu kama hutojali nkupe maarifa PM humu wajuaji wengi.
 
Monseur

Monseur

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2016
Messages
395
Points
500
Monseur

Monseur

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2016
395 500
Siku za hatari huzijui kabisa: Mwezi wa nne ulitakiwa kukutana na mwenzako kuanzia siku ya 11 tangu ulipoanza ku bleed yaanitarehe 25, 27, 29 unaruka siku moja moja ili kutoa nafasi kwa Mbegu za mumeo kuimarika zaidi: Aidha, kwa Mwezi wa tano ungepiga show kuanzia siku ya 11 tangu ulipoingia mwezini yaani ungeanza mgegedo tarehe 01/05 na kuendelea hadi siku ya 18:: Siku za game hakikisha umepumzika vya kutosha, fanya mazoezi kiasi, usiwe na stress na usinywe mapombe mengi; Anyway njoo INBOX nikupe UHONDO
 

Forum statistics

Threads 1,303,525
Members 500,948
Posts 31,484,574
Top