Mbinu za kilimo vijijini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu za kilimo vijijini.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jul 23, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwetu usukumani watu hualikana kwa zamu kulima shamba la kila mmoja.Ili kupeana motisha,watu hupewa pombe na nyama ya kutosha.Kule kwa wakurya watu hupewa nyama choma na BANGI ya kutosha kama motisha.
   
Loading...