Mbinu ya PROBLEM–REACTION– SOLUTION, je unaitambua?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,527
Reaction score
8,683
Ni mbinu inayotumiwa na baadhi ya serikali au vyombo vya mamlaka pale wanapotaka kutekeleza ajenda fulani bila kukumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi.

🔹 Problem: Wanaanzisha au wanaruhusu kutokea kwa tatizo fulani kubwa.
🔹 Reaction: Wananchi wanapaniki, wanaogopa, wanadai suluhisho.
🔹 Solution: Serikali inakuja na hatua au sheria ambazo zisingekubalika hapo awali lakini sasa zinaonekana kama “msaada”.

Mfano mmoja ninaoufahamu ni nchini Marekani, ambapo baada ya wingi wa umiliki holela wa silaha, serikali pamoja na taasisi za intelijensia walianza kutengeneza tatizo (problem) kwa kuandaa au ku stage matukio ya mass shooting ambapo vyombo vya habari viliripoti kwa uzito mkubwa, wananchi wakaingiwa na hofu, na mwisho serikali ikapitisha sheria mpya kali kuhusu umiliki wa silaha.

Matukio hayo yalitumiwa au hata yalitengenezwa ili kuhalalisha hatua hizo.

Mfano mwingine ni Septemba 11, ambapo mashambulizi yale yalikuwa inside job, ili kuhalalisha uvamiaji au invasion kwenye nchi za mashariki ya kati hasa Iraq.

Je, unafahamu mfano mwingine wowote ambapo mbinu ya PROBLEM – REACTION – SOLUTION ilitumika kufanikisha ajenda fulani ya serikali yoyote duniani, hasa kwa namna ya kupunguza uhuru au kudhibiti raia?

Tupe mtazamo wako au mfano mwingine tujadili.....

Pia soma: Fahamu falsafa ya Order out of chaos inayotumika kuleta utaratibu mpya baada ya machafuko
 
Kwa Sasa ni Kama NaPA na wanafunzi wa mikopo elimu ya juu
 
Back
Top Bottom