Mbinu ya kumtimua mama mkwe mkorofi...

Mbinu ya kumtimua mama mkwe mkorofi...

..........hapo umenichekesha mkuu, na hapo napata mantiki kwa nini overstaying huwa ni kosa la jinai!

Al Zagawi ni vyema ajue ytuko kwa watu ambao nao wana mipango yao.............atembelee lakini isifikie wakati akafikiri kahamia kimoja kwa moja kwa watoto...........
 
Mama mkwe akiwa anawatembeleeni khalafu habanduki basi huyu njemba wa kenya aliyafanya haya na mama mkwe aliishia bila ya kupenda..............huyu njemba alikuwa Kispigis

1) Siku za awali alichinja vitoweo murua kumkaribisha maana walikuwa hawajamwona siku nyingi.........

2) Baadaye walimpa makanyagio na kichwa kumjulisha..mama wakati wa kurudi kwenu umewadia..........lakini mama mkwe hakusikia........

3) Mama mkwe alipokuwa kanogewa njemba siku ya X-Mas akatia mtindi balaa na akarudi nyumbani kuhoji imekuwaje.................................

Jisomee bandiko hili kujua kilichotokea...................
Man sends away mother-in-law in style

Enzi za MWALIMU tulikuwa na wimbo shuleni MGENI SIKU YA KWANZA anapewa first class huduma....MGENI SIKU YA SABA MPE JEMBE AKALIME.....MGENI SIKU YA KUMI NI KUPEWA MATEKE NA MAGUMI (aondokeee)
 
SURUMA tatizo la wakwe ni kuwa wao hawajioni ni wageni wanajiona wako kwao tu................shida huanzia hapo hawataki kubanduka na kurejea makwao.
 
idont think so tht was the gud trick to kick her out ,,cos naona kajitia aibu yeye ,hakuna kituko ambacho amefanya zaid ya kuonesha kua yy n mjinga, kma mm ndio mume wangu huyu damn! sijui nn nitamuambia kwanza ,nahis jamaa( mlafi )
 
wahida kwa hiyo mama mkwe akae hapo hadi ni lini?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma sijaipenda hii mwanasheria wangu.

Mama mkwe akiwa anawatembeleeni khalafu habanduki basi huyu njemba wa kenya aliyafanya haya na mama mkwe aliishia bila ya kupenda..............huyu njemba alikuwa Kispigis

1) Siku za awali alichinja vitoweo murua kumkaribisha maana walikuwa hawajamwona siku nyingi.........

2) Baadaye walimpa makanyagio na kichwa kumjulisha..mama wakati wa kurudi kwenu umewadia..........lakini mama mkwe hakusikia........

3) Mama mkwe alipokuwa kanogewa njemba siku ya X-Mas akatia mtindi balaa na akarudi nyumbani kuhoji imekuwaje.................................

Jisomee bandiko hili kujua kilichotokea...................
Man sends away mother-in-law in style
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma sijaipenda hii mwanasheria wangu.

sishangai kabisa..............wengi hatupendi misuguano lakini unaposhikwa wakati mwingine inabidi ushikamane.......................hata hii njemba ililaumu kinywaji kwahiyo funzo ni kuwa kinywaji kina madhara makubwa hata kwenye mahusiano ndilo somo nililojifunza hapo..................Mamndenyi
 
Rutashubanyuma "like" you

njia za kumtoa nyoka ktk tundu zipo tele ,cos usifanye pupa ukajiumiza na ukaathiri wengine.
 
Back
Top Bottom