Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mama mkwe akiwa anawatembeleeni khalafu habanduki basi huyu njemba wa kenya aliyafanya haya na mama mkwe aliishia bila ya kupenda..............huyu njemba alikuwa Kispigis
1) Siku za awali alichinja vitoweo murua kumkaribisha maana walikuwa hawajamwona siku nyingi.........
2) Baadaye walimpa makanyagio na kichwa kumjulisha..mama wakati wa kurudi kwenu umewadia..........lakini mama mkwe hakusikia........
3) Mama mkwe alipokuwa kanogewa njemba siku ya X-Mas akatia mtindi balaa na akarudi nyumbani kuhoji imekuwaje.................................
Jisomee bandiko hili kujua kilichotokea...................
Man sends away mother-in-law in style
Mbona sijaona kituko chochote alichofanyiwa mama mkwe ?
Mbona sijaona kituko chochote alichofanyiwa mama mkwe ?
He arrived home calling out her name, a taboo among the Kipsigis, and asking what else she wanted.
"I slaughtered a goat when you came and you ate even the hooves! I no longer see a chicken around my compound because you are the Kipunpung'it (mongoose) in my house!" he shouted.
Then in his drunkenness, he took off his shirt so that neighbours could see how ‘thin' he had grown since the arrival of the ‘Kipunpung'it'.
Well, the trick worked because his mother-in-law left the next day swearing she would never set foot in his house again.
The next morning, when told what had transpired, Kipchomber also swore he would never drink again, but his friends know that the oath will only hold until the next Christmas.
Dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislikedislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike dislike.........
Mh, kwa sisi tusiokunywa pombe ni ngumu kumtimua...
sioni kama busara kumtimua mama aliyekuzalia mme/mke kisa mkorofi huo ukorofi wake ndio unauona sasa wakati amesota sana na wewe jua ,mvua yake.angetumia busara,PEPO YA MTOTO IPO CHINI YA NYAYO ZA wazazi wake na hasa MAMA,