Mbinu Tano : How to Use Skills You Already Have to Make Money Online. Hata kama unadhani Ujuzi wako Haufai

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings my brothers and sisters!

Natumaini mpo vizuri.

Kama kawaida nipo hapa ku-share darasa muhimu kabisa kwa lengo lengo moja tu kukusaidia kuboresha life yako hasahasa financially.

Kama nilivyodokeza kwneye headline leo nataka nikuonyeshe 5 way to use Skills you already have to make side hustle online.

Na niseme tu Hapa namaanisha any skill.

Iwe...

Mjuzi katika kukamilisha deal za pesa (you know how to close)

Unaweza kuandika kwa kushawishi.

Unaweza kutafsiri lugha.

Wewe ni mweledi katika technology

Wewe ni mweledi wa mapishi.

Unaujuzi mpana na maeneo ya utalii katika sehemu unayoishi.

Unajua kuchora.

Yaani kila skill unayofikiria ni interesting I can teach you have to make money out of it.

Isn’t that sweet?

Unatumia skill you already have to make money bila kuhangaika kujifunza skill mpya.

Hapa nikufahamishe tu haya yote yanawezekana kwasababu watu wapo tayari kulipia kazi yako wakiona value hata kama watu wengine watasema nini.

Watu wapo na nahitaji tofauti tofauti huwezi juwa pengine skill yako ni solution kwao.

And If you don’t try you never know.

Ok.

Sasa twende darasani.

1 • Tafuta mentor akufundishe jinsi unavyoweza tumia opportunity mtandao umetoa Kutengeneza pesa.

Hapa niseme kitu.

Kuwa na skill ni jambo moja.

Kufahamu namna yakutumia hiyo skill nankutengeneza pesa ni jambo jingine kabisa.

Skill alone is not enough.

Inabidi ujifunze How Business is run online. Na njia nyepesi ni kujifunza toka kwa mtu mwenye uzoefu.

Does that make sense to you?

If you choose to learn yourself it is fine also. But you are going to waste lots of time on mistakes that could otherwise be avoided if you had mentor to guide you.

I been there. I know.

2 • Anzisha darasa lako Jamii Forums kama upo Tanzania.

Hiyo vipi?

Watu wengi hawafahamu nguvu ya JF katika kupata potential buyers kwa hapa nyumbani Tanzania.

Trust me.

Ukianzisha darasa lako ukifundisha watu chochote kile kuhusu skill uliyonayo chances people will buy from you.

But you need to be strategic.

Unahitaji kuunda Authority kwanza ili watu wakuamini.

Na njia yakujenga Authority ni kuwa consistency na darasa lako.

Do you think you can do that?

Come on... of course you can.

Acha woga.

Pesa zipo mbele ya macho yako.

Jaribu kuwa creative kidogo you will make it.

3 • Build Your Email List.

Ok.

Hii habari ya Email list nilishazungumza kwa kina kwenye post ya nyuma.

Lakini kwa kurudia haraka ni kwamba Email marketing ndiyo most powerful way to turn interested customer into a buying one.

Kumbuka money is in the list.

Unajitaji kujifunza kila kitu hapa and you will be good.

Reach out if you need some assistance. My email is makingmoneyonlinetz@gmail.com

4 • Fungua Instagram Page au Facebook.

Ok.

Ili uweze kufikia watu wengi zaidi Inabidi uwe na Social Media Page.

Tafuta jina zuri linalo fit skill yako halafu anza kupost content.

Ukifikisha post angalau 5 nenda kwenye Page ya celebrity unayedhani anaendana na skill yako halafu wafollow watu wote wanao like post za huyo celebrity.

Hii automatically itawafanya nao wakufollow.

Watu wakianza kufuata Page yako endelea kupost content zaidi.

Baada ya hapa unaweza promote post kadhaa katika Page yako kwa dola moja ( Tsh 2,300 hivi)

Hii itasaidia post zako zipate likes nyingi. Kwa $1 unaweza fikia watu na kuapata likes zaidi ya 400.

Baada ya hapa wafolllow watu wote walio like post zako.

Hao watu walio like kwanamna fulani wanapenda kazi zako.

Hapa sasa ndiyo kazi inakuja yakutengeneza pesa.

Waumie jumbe zakuwaonyesha jinsi unavyouza ujuzi wako na ungependa kufahamu kama watapenda kulipia ili uwasaidie.

Kwamfano ni Social Media Manager unaendesha Social Page yako Instagram ukijinadi unaweza saidia watu kusimamia Social Page zao za biashara. Basi hapo inabidi uwafuate watu wote waliolike post zako na kujaribu kufanya nao Business.

Trust me.

This is very powerful na katika watu unaowatumia jumbe baadhi watakuwa tayari kulipia ujuzi wako ili uwasaidie kwenye jambo fulani.

Do you get my point?

Kama unahitaji kujifunza zaidi send me Email. I will get to you shortly after I receive it.

5 • Work on your business everyday.

Mwisho nataka nimalizie hivi.....

You should keep taking care of tour new business everyday.

Unajua nini?

Iwapo utakuwa na stamina yakufanya kazi kila siku chances are you will see results soon.

Usiwe mtu wa kufanya kazi siku moja halafu unapumzika wiki moja.

Hii itakuchelewesha sana kuona matekoe chanya kwasababu watu walio intereated na Skills zako watakusahau.

Binafsi im working every single day.

Na wala sioni tatizo.

Kwasababu napenda nachofanya.

It is that simple.

Sasa nakutaka ufanye kitu.

Nitumie email uniambie kuhusu skill uliyonayo nitakona nakusaidia vipi.

Kwa leo naomba niishie hapa.

Tukutane next time.

Cheers 🥂
 
Skills Tosha hiii cijui niku email tena ???

Cheers
 
Duh japo napata shida kwenye lugha lakini nakuelewa sana je wengine hatuna skills how to build skills from scratch
 
Back
Top Bottom