Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Habari zenu wakuu,
Ni njia ipi nzuri na rahisi ya kumkamata mtu anayetaka kupokea rushwa? Kwa mfano, mtu anataka rushwa ya hela na yuko tayari mkutane sehemu yoyote utakayopanga wewe ili umpe, je, utamkamataje kwamba anapokea rushwa?
Ningependa kumrekodi video, sasa si atashtuka! Au naweza kumrekodi kivipi?
Nipeni mbinu.