emmanuel1976
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 301
- 79
Ndugu waheshimiwa wana jamvi.
Jana magaidi 10 wamekutwa ndani ya msikiti mmoja huko mkoani Morogoro wakiwa na silaha za sub machine guns, milipuko ya kulipulia majengo nk, majambia, manati, bendera nyeusi, sare za jeshi nk.
Juzi msemaji wa jeshi la polisi nchini Mhe. Bi. Advera alitoa tamko kali na kuonya kuwa kuna watu wanaojaribu kuwatisha watanzania kuwa kuna ugaidi nchini na kuwataka waache mara moja kana kwamba hakuna viashiria vya ugaidi nchini. Zaidi ya askari polisi 7 wameisha uliwa na magaidi huku magaidi wakijinadi kuwa Mhe. Rais hana jeshi la polisi.
Wiki kadhaa zilizopita kundi la vijana zaidi ya 140 walishikwa wakiwa wamejificha katika misikiti mitatu tofauti huko mkoani Kilimanjaro wakijinoa. Nk.
Bila shaka wapo watanzania wengi walioogopa kutoa ushahidi wa mwenenndo mzima wa makundi haya ya kigaidi nchini kwa kuogopa kauli ya jeshi la polisi. Je kwa tukio hili la magaidi waliokutwa msikitini Morogoro wakiwa na silaha hatari jeshi la polisi watatuomba radhi?