Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
[emoji23] [emoji23] pole yake jamaa yako dar jamani watu tunaibiwà sijui kijnga au sijui nini yaani mtu unashindwa hata kujielewaDah...hiyo ya vibaka kumvisha muhanga wao ndoo na kumuacha akihangaika nayo ilimtokea jamaa yangu maeneo ya Kinondoni Moscow but yeye walimvisha roba kubwa wakachukua simu mbili saa na wallet,jamaa ktk kuweweseka weweseka akajikuta anajipiga mtama akaanguka kwenye mtaro wa maji machafu akapasuka mdomoni.hawa jamaa hawafai kila siku wanabuni style mpya kutuibia.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app