Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
TAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.