MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 501
- 360
........ na msororo69.....na salary slip.
........ na msororo69.....na salary slip.
Duh,mkuu tunashukuru kwa taarifa,lakini tunasema "Mungu asipoilinda nyumba yeye akeshaye anajisumbua bure".Nakwambia hivyo kwa sababu mbinu hii umeisema watu wataifuata,jamaa wakija na mbinu nyingine mpya itakuaje?TAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.
Mkuu wewe gate valve ya bomba la nje bado unaifungia nje? Wakija kwangu imekula kwao, wakifungua Mimi huku ndani nafunga gate valve moja kwa moja.TAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.
wezi watapata nyumba chache maanake maji ya bomba bado anasa.TAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.
Sasa wale wezi na majambazi ambao wengi wao walikuwa hawajui hii mbinu, sasa huu uzi wako si umewafundisha? Hujui kwamba Jf pia inasomwa na hao majambazi na mengine ni members to senior expert members?
acquired sugar deficiency syndrome.!!!&uhaba wa virutubisho vya sukar mwilin
Duh wanaume wa dar!!! Mbona waoga hivyo badala ya kuhamasishana kuwamaliza wezi mnaambiana msitoke ndani. Acheni uoga jamani tokeni tuwamalize wezi acheni chips mayai
Mimi nikitoka nje usiku mwingi lazima nifunge mlango kwa nje hata kama ni dakika tano.Duuuuuh hawa jamaa ni wabunifu sana.. Hv wanapitiaga academy nn? Au wana research lab yao? Maan kila siku ni mbinu mpya. THANX 4 ALERT MTOA MADA
[emoji1] [emoji2] hiyo mbinu ni noma sanaTAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.
Ebu weka picha!!!TAHADHARI: Kama nyumbani kwako una bomba la maji nje, na ukaamka usiku wa manane na kulisikia linatoa maji, usitoke kwenda kulifunga we acha tu hiyo bili iongezeke...maana ukitoka tu ni ishu, wezi na majambazi wamebuni njia mpya ya kukufanya wewe ufungue milango yako kiulaini. PLEASE MJULISHE NA MWENZAKO.