Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jun 20, 2020 #21 Hiyo njemba imetuaibisha sana kwanini isingempeleka lodge ikala tunda kimasihara ndo ikafanya ujinga wake wa kukwapua mkoba.
Hiyo njemba imetuaibisha sana kwanini isingempeleka lodge ikala tunda kimasihara ndo ikafanya ujinga wake wa kukwapua mkoba.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Jun 20, 2020 #22 Ndekrepha said: Hahah.. inavyoelekea ilikuwa ni mara ya kwanza kuonana. Ila walikuwa wameshakulana sana na mno kwa style zote kunako chats za simu. Hivyo bidada alikuwa huru na amerelax maana alikuwa na mpenzi wake. Click to expand... Kweli kabisa hili tukio inaonyesha ni live
Ndekrepha said: Hahah.. inavyoelekea ilikuwa ni mara ya kwanza kuonana. Ila walikuwa wameshakulana sana na mno kwa style zote kunako chats za simu. Hivyo bidada alikuwa huru na amerelax maana alikuwa na mpenzi wake. Click to expand... Kweli kabisa hili tukio inaonyesha ni live
fen lee Senior Member Joined Oct 4, 2016 Posts 150 Reaction score 121 Jun 20, 2020 #23 Deejay nasmile said: Tunda ulikula? Click to expand... Angekula kimasiara 😛
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,256 Reaction score 2,196 Jun 20, 2020 #24 Hasa huo mkoba wenye taulo za kina mama na vipodozi una dili gani hadi mtu usepe nao?
Diana Spencer JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 3,611 Reaction score 5,167 Jun 20, 2020 #25 Haina vitafunwaa?
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,345 Jun 20, 2020 #26 Acha roho mbaya, nauri ni sh ngap kwani?
kelvin complex JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 610 Reaction score 592 Jun 20, 2020 #27 Kelvin gani anakuwa na tabia za kindezi hivyo? Anajua kilichopo kwenye huo mkoba?
classic guy Member Joined May 27, 2020 Posts 89 Reaction score 108 Jun 20, 2020 #28 chai hiyo,sema imepoa saaana
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Jun 20, 2020 #29 Ungemkaribisha ndani ungekula kimasihara. rikiboy kuna vijana somo bado halijawaingia.😀
Y Young Efe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 337 Reaction score 247 Jun 20, 2020 #30 Sema huna hela Sio nimemnyima ili ajifunze.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,888 Reaction score 36,270 Jun 20, 2020 #31 Mbinu mpya!? Unazijua mbinu mpya wewe!?
G GPP1922 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 540 Reaction score 547 Jun 20, 2020 #32 Yaani 400/= plus 1000/= la bodaboda umeshindwa kutoa kisa ajifunze siku nyingine, jamaa una roho mbaya huna tofauti na huyo tapeli
Yaani 400/= plus 1000/= la bodaboda umeshindwa kutoa kisa ajifunze siku nyingine, jamaa una roho mbaya huna tofauti na huyo tapeli
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,505 Jun 20, 2020 #33 Wewe sio member wa ule uzi. Ungeandika habari tofauti kabisa hasa hapo alipokuomba nauli.