Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

Waambie hao UKAWA wabadilike; wananchi wanataka kusikia mambo mawili tu: moja,ni kwanini wanafikiri waliopo madarakani hawafai, na mbili ni kwanini wanafikiri wao wanafaa zaidi. Waachane kabisa na kazi ya kuorodhesha ahadi kama wanavyofanya wenzao kwani hili ndilo lililompatia dokta mihogo umaarufu; tena wasipofanya hili mapema hata hizo nyomi zitapwelea- si umewasikia jana wakidai ubovu wa makufuli usemwe hadharani? kwanini sasa hao UKAWA wanakuwa mabubu? au hawajui maana ya kampeni ni nini?
 
Nakwambia humu yamejaa majuha hayana lolote

Jipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel
 
Jipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel

Umemaliza shghuli kbisaaa
 
Nafwatiliaga sana mabandiko yako kule Facebook jinsi unavyopotosha umma. kama haya mabandiko ni yakweli basi kuwa makini kuna siku watakunyonya kamasi hawa watu unaowafanyia udukuzi kwenye vikao vyao.

 

Hapo ni kweli, je waweza pata contact ya wahusika ili uwambie kwani mambo mengine nyeti sana.
 
Nafwatiliaga sana mabandiko yako kule Facebook jinsi unavyopotosha umma. kama haya mabandiko ni yakweli basi kuwa makini kuna siku watakunyonya kamasi hawa watu unaowafanyia udukuzi kwenye vikao vyao.


Sometimes we must take such risks to give the country back to the people!
 
kwa nini CCM saiv wanaigaiga tu? Wameiga mengi ya UKAWA. mfano utaratibu wa wanawake kukaa mbele kwenye mikutano, namna ya kunyoosha mikono kwenye mikutano na kusema mchakamchaka, namna ya kubandika mabango. Mbaya zaidi sera za Magufuli ni za UKAWA mfano neno MABADILIKO, maskini wa Mungu bila kutafakari mamedesa M4C. CCM ni chama kilichodumaa hakina uwezo wa kubuni tena
 
CCM hawana sababu ya kufanya hvyo.Ile kuimanipulate M4C haıkuwa kuitumia km slogan.Unapokuwa kwenye jukwaa la siasa licha kukazana na wanaokuunga mkono,ni lazima ujitahdi kuwavuta wale wasıokuunga mkono.Km UKAWA hamna mtazo huo mmekwisha.
Kuishiwa ni kubaya jamani,loh....CCM kwishaney kabisa mpaka kufikiri sasa UKAWA ndiyo limoti ya CCM.
 


Ahsante sana Mkuu kwa taarifa hizi muhimu. Nina imani Mungu asiyetutoa kuwa mawingo ya adui zetu, atasimama na taifa la Tanzania hata katika hizi hila za mfalme dharimu.

Kwanza naomba Mungu awalinde watoto wangu na vizazi vyangu vyote, visipatwe na yaliyompata Dr. Slaa. Inaonekana Dr. anaadhibiwa adhabu kali sana inayompa mateso ya kumdhalilisha mbele ya dunia. Sijui anaadhibiwa hivyo kwa sababu ipi.

Lakini, ninajua hata Samsoni aliyepatwa na madhira kama aliyonayo Dr, kati kati ya makusanyiko ya mashetani, aliamua na kudhamiria kumpa Mungu utukufu bila kujali gharama ya maamuzi yale. Aliona uamuzi wake ni bora kuliko kuishi katika umateka akidhihakiwa na kutumikiswa huku Delila akipata matuzo mbali mbali.

Ninachoamini, Dr. Slaa ni binadamu ameumba kwa mfano wa Mungu. Japo watesi wake wanaweza kuwa wamekamata akili yake na kumdhibiti kwa vitisho ama ahadi, kabla hawajamwita kumfanya bundi na sanamu la kampeni, ufahamu wake utakuwa umerudi, atajiona namna delila wake alivyomkabidhi kwa wafilisti na namna anavyotumikishwa kinyume na ndoto zake, na ataona fedha, mke au chochote hakita msaidia katika dhambi yake, na atachukua maamuzi.

Ccm atakachowafanyia, wataandika kwenye kitabu cha kumbukumbu. Wajaribu kumtumikisha ki hivyo waone.


Hata hivyo sisi tuna Mungu. Katika mbinu ovu za ccm , Mungu atatutumia Malaika wake watatubeba wala hatutapatwa na uharibifu wowote.

Sana sana mashimo wayachimbayo ccm wanaingia wao na nyavu wazitegazo zinawanasa wao na hawatakuwa na mwokozi wala mfariji siku ya msiba wao!. 25th October!
 
Jipeni moyo tu...mke wa magufuli kishasema hawezi kuambatana na mtu asiye muaminifu kwenye ndoa yake...amchukue yuke akiyemhomga nyumba na kumjaza mimba pale mabibo hostel
Leo umeandika umesha gonga VODKA
 

Wacha yajitie kitanzi na mawakala wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…