Mbinu mpya Wanawake hutumia kuhalalisha ndoa...

Sio kila mwanamke unampeleka kwako haswa sisi wenye watt nyumbani unajaribu kutunza heshima utampeleka kwako kama umeshakuwa na malengo nae
Basi kumbe ndo mana huwapati tatzo una familia tayari
 
Hapana hayajanikuta, ila naamini ndoa sio kitu cha kulazimisha, mkiwa mnaendana yaani inakuja tu automatically kila mmoja anaona haja ya kuishi na mwenzie for the rest of your lives.
Umenena vema jiran. Wenzako wanaogopa kuzama kwa jua
 
Nawaza waotumia mbinu hii ni wa aina gani? Wakike/wakike wa chuo? Je anavihamisha akitoka wap? Kwao au? Maana wasichana/ladies siamini mtu nina nyumba yangu nzuri tu ya kupanga nianze kuhamisha vitu kwa mwanaume as if amenioa?

Anyway kama unamaanisha wa kike sawa
 
Na ndo maana kila siku humu watu wanalialia wakitaka ushauri, sababu ya kulazimishana.
We ka amesahau kitu mkimbizie nyuma na boda boda tu maana hamna ingine
 
Mbona rahisi sana kumsimisha hiyo tabia. Akiacha kanga Leo, kesho yake akikuambia anakuja, chukua ndoo, weka maji nusu, iingize hiyo kanga ndani ya ndoo.
Mpimie muda, ukiona bado dk3 aingie, anza kupiga deki kutumia hiyo kanga yake. hapo sijui nini kitafuata.
Akiacha chupi moja, wewe nenda kanunue chupi nyingine moja ya kike, kisha iweke pale alipoiacha chupi yake. Akikuuliza habari ya hiyo chupi asiyoijua, mjibu "ni yeye ndiyo aliyoziacha hizo chupi" Tena sisitiza hiyo uliyoinunua wewe ukimuona kaivaa huwa inampendeza sana!
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili. yeye akilazimisha, sisi tunatumia akili.
Dah mkuu umeua kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbinu ya kizamani hii,mbinu isiyoisha fashen na inaendelea kuboreshwa zaidi ni kujibebesha mimba.
Hata mimba zinakataliwa, sababu wanawake wemgi si waaminifu. Mtu huwa na uhakika baada ya kuona product
 
SAA hiyo unasubiria product tayari upo nae! Patam hapo.
 
Kilasiku humu kuna habari za wanaume hawataki kuoa lakini chakushangaza leo parokiani kwetu zimetangazwa ndoa 15 na kila jumapili wanaandikisha ndoa watu wapya sasa sijui hao ni wanaume wa wapi.
 
Na baada ya kuona product anajiingiza kichwa kichwa kwenye ndoa matokeo yake malalamiko
Hata mimba zinakataliwa, sababu wanawake wemgi si waaminifu. Mtu huwa na uhakika baada ya kuona product
 
Nawaza waotumia mbinu hii ni wa aina gani? Wakike/wakike wa chuo? Je anavihamisha akitoka wap? Kwao au? Maana wasichana/ladies siamini mtu nina nyumba yangu nzuri tu ya kupanga nianze kuhamisha vitu kwa mwanaume as if amenioa?

Anyway kama unamaanisha wa kike sawa
Ujakutana na penzi wewe ndiyo maana unasema hivyo!
 
Mbona rahisi sana kumsimisha hiyo tabia. Akiacha kanga Leo, kesho yake akikuambia anakuja, chukua ndoo, weka maji nusu, iingize hiyo kanga ndani ya ndoo.
Mpimie muda, ukiona bado dk3 aingie, anza kupiga deki kutumia hiyo kanga yake. hapo sijui nini kitafuata.
Akiacha chupi moja, wewe nenda kanunue chupi nyingine moja ya kike, kisha iweke pale alipoiacha chupi yake. Akikuuliza habari ya hiyo chupi asiyoijua, mjibu "ni yeye ndiyo aliyoziacha hizo chupi" Tena sisitiza hiyo uliyoinunua wewe ukimuona kaivaa huwa inampendeza sana!
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili. yeye akilazimisha, sisi tunatumia akili.
Wewe kiboko aisee.
Kwa hali hiyo lazima akusanye virago aondoke bila kufukuzwa
 
Back
Top Bottom