N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,992
- 12,036
Chukua tahadhari baada ya kuchukua pesa benki...
Dada mmoja Mkazi wa Msigani leo ameibiwa zaidi ya MILIONI MBILI akitokea Tawi la CRDB Mbezi Mwisho. Ilikuwa hv dada amechukua fedha ndani ya benki kufika kwenye Gari yake akamkuta MJAMZITO ameegemea gari akiomba msaada wa kuwahishwa Hospt Luguruni kwa Masista. Wakiwa njiani akamuuliza MJAMZITO huna vifaa? Akajibiwa kwamba mumewe atamletea Hospt, walipofika Kituo cha mafuta LUGURUNI ikatokea pkpk ambayo iliashiria kuwasimamisha ndipo Dada dereva akamuuliza MJAMZITO kama ndiye mumewe, wakati huo MJAMZITO alijitia amelaza kiti akajibu ndio, walimpakia yule baba akiwa na mfuko. Walipoingia njia ya VUMBI ndipo MJAMZITO akaomba gari isimame ili ATAPIKE, ndipo dereva akasimama, gari wakati MJAMZITO FEKI anajitia kutapika ndipo MUME FEKI akatoa KISU KIKUBWA akitaka FEDHA iliyotolewa benki na DADA Driver huku akitaja kiasi halisi ambacho kimetolewa benki. Dada wa watu hakuwa na jinsi akatoa fedha husika na mara zikatokea pkpk mbili MJAMZITO NA MUMEWE waka panda na kuondoka. Maskini yule DADA kwa mshtuko AKAHARIBIKIWA hadi kushindwa kuendesha gari. Chukua tahadhari ukiwa BENKI usiamini mtu yeyote utokapo benki. Imetokea jana 12/03/2015. Nawasilisha kama nilivyotumiwa