Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Njia ya kupata mshahara zaidi almost always ni kuhama kwenda sehemu nyingine, pia unaweza kupata offer sehemu nyingine na kuitumia kuomba hapo ulipo wai match hiyo offer, ila hapo wapime hao unaofanya kazi kwao kama wako kiprofessional au kiriho mbaya zaidi maana wanaweza kukubali kumatch then wakaleta visa.