Nimeona watu wengi wanavyohaha kuhusu ujenzi pengine sio kosa lao...unakuta mtu anapambana na kujenga nyumba kubwa mwishowe inamshinda.
Kama leo nimewaletea Ramani ya chumba kimoja masta, sebule, jiko na kibaraza kimoja ...hii Ramani ukitenga milioni 5 uhakika kumaliza.
Unajipanga tena unvuta rum mbili za mstatili na choo pembeni mwa hiyo ya kwanza , hiyo nyumba ya nje itakuwa ya watoto(kama unao) au ya wageni.
Basi umemaliza ujenzi wako kirahisi...tuishii kulingana na uwezo na sio kuwavutia wapitaji...kwa anyehitaji hiyo ramani anichek whatsap 0627571649